Kutua ndege bila ya kujua Jiografia ya uwanja!

Kutua ndege bila ya kujua Jiografia ya uwanja!

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,734
Nimewaza jinsi ilivyo hatari kwa rubani kutua ndege kwenye uwanja bila kujua jiografia yake nikarelate na kufunga ndoa na mtu bila kumjua 'jiografia yake'. Mwenye majibu yanayoendana na maadili ya dini atushauri jinsi ya kuepuka kuliwa. Unaweza ukaoa kitu used iwapo umeoa bila upembuzi yakinifu ati!
 
Jografia ya mtu ndio ipi sasa.... Kwamba katokea Kaishozi, machame au tukuyu?
 
sasa utamuoaje mtu bila kumla? lazima umle kwanza ndiyo uone kama anafaa au hafai
 
Back
Top Bottom