Unakuta mmekaa uchumba miezi au miaka.Mmezaa na ushamzoea sana hata nice treatment and caring zinapungua.
Sasa akitokea mburula fulani akamtreat vizuri na kumcare hapo lazima mkeo amegwe kisela...
Labda tu niseme binadamu tunatofautiana kimawazo, kimtazamo na hata kimipango.
Mimi kidogo ni mwepesi kusoma hisia za mtu, na nahisi hata mwanaume yeyote rijali lazima awe mwepesi kuelewa hisia...
Kuna huyu mwanamke aliyeniomba tuishi wote baadae tukatofautiana kwenye kuchangia hela ya pango hivyo nikahama kurudi kwangu kwenye gharama ndogo
Baada ya kuondoka kwake nikampotezea nikawa...
10. Stay Fresh and Clean
You're living with an honest to goodness lady now. This means that you're going to have to ditch some of your more brutal masculine habits such as refusing to shower for...
Ushawahi kusikia mwanaume amefia gest?
Ushawahi kujiuliza nini kinatokea?
Any way kuna mambo mengi ila moja ni hili: Kuna watu wanatumia dawa za kuongeza nguvu za vidonge vya aina mbali mbali ila...
Ni mara nyingi amekuwa akija kwangu kulalamika jinsi ambavyo baba mmoja anamsumbua sana kumtaka kimapenzi. Bidada hajaolewa lakini ana mchumba. Ila ni mdada mkubwa tu (over 35 years).
Ushauri...
Wakubwa ni hivi
Jipange umpate mwenza mnaeelewana .
Kuna jamaa yangu kataka ushauri kwangu mke wake wa ndoa kama week imeisha alienda kuhani msiba na akina mama wenzie sasa jamaa akapanga na mke...
Hellow,
Most of the times nikitaka kuingia kwenye serious long term relationship na mwanamke ambae naona atafaa kuja kuwa mke wangu naishia kuwekwa friendzone.
Mbaya zaidi she leads me on, on...
Kuna thread ilifunguliwa hapa MMU ikiwa na kichwa cha habari "kwanini wanawake wengi hawaolewi" na mimi nikachangia kisa changu ambacho wadau waliomba nikifungulie thread kwa maana kuna mengi...
Huu ni utafiti wangu jamani na nina imani wengi mtaniunga mkono.
Maana maana mwanamke huweza kupizi maradufu na kufanya zoezi kumtawala kwa utamu wa hali ya juu muda mwingi sana wakati mwanaume...
Mimi Ni Mwanaume Natafuta Mke Wa Kuoa,umr Wangu Ni Miaka 26,naishi Dar.Mke Ninae Mwitaji Awe Na Umri Wa Miaka 24-31,mweupe Asiwe Wa Dukani,mrefu Kias Kwn Mimi Ni Mfupi Kias Mwembamba.Kwa...
Ndugu zangu,
Nilishawai kuwaambia hali ngumu ya mapenzi ninayoipitia ndani ya miaka miwili,kwa kifupi ni kuwa mwanaume unalalanae miezi 2 hajakugusa, ukimgusa anasema amechoka.
Juzi nilikuwa...
Salaam wakuu ,
Japo muda umeenda sana ila si vibaya tukalizungumzia hili na tukapeana uzoefu namna ulivyoruka hiki kiunzi wakati unapotaka mahusiano mapya na mtu
Nilitokea kuwapenda wadada...
Habari wanajukwaa?
Hivi hii kauli iko sahihi kweli? "Mpotezee. Fanya yako." Wanajamvi wengi katika jukwaa hili wamekuwa wakishauri hivyo.
Ushauri huu umekuwa ukitolewa kwa wanaume kuendelea na...
Habari wadau!
Weka mbali sababu za Kidini, eti ni sababu zipi hupelekea msichana kukataa kufanya mapenzi na boyfriend wake mpaka waoane? (kwa mfano msichana sio mlokole)
YAMENIKUTA MWENZIO
Kuna msichsna nampenda sana tena zaidi ya neno lenyewe,kwa wasichana wa tanzania wakitaka waamini kuwa fulani ananipenda sana umtamkie kwa kingeleza "i love you so much$ harafu umpige busu basi...
Wadau habari.
Kwa wiki hizi mbili mfululizo nime notice changes kubwa kwa mwenzangu, ambapo bibi wake amekua wa moto sana napoingia kule, nikagundua muda mfupi kabla ya kulala yeye huingia chooni...
Habari wadau?
Naamini mpo vizuri tu. Nina shida naomba msaada wenu kwa wale wataalamu.
Usiku wa kuamkia leo niotea ndoto ambayo niliona mbwa wakifanya mapenzi na nikaongea nao ( sikumbuki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.