Super H
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 1,070
- 405
Wakubwa ni hivi
Jipange umpate mwenza mnaeelewana .
Kuna jamaa yangu kataka ushauri kwangu mke wake wa ndoa kama week imeisha alienda kuhani msiba na akina mama wenzie sasa jamaa akapanga na mke wake kuwa mume atawapikia watoto kwa siku hiyo maana hawana beki tatu...kiroho safi na kimapenzi jamaa akafanya hivyo na wife akafurahi.
Sasa jana jamaa akaenda sokoni akawa amehemea mboga za majani akampelekea mke wake apike jamaa kufika home mke wake akamwambia jamaa kwa kiburi si uingie mwenyewe upike?
Ikawa ndio mwanzo wa ugomvi hadi saa hii ni timbwili..
Sasa hawa dada zetu huwa wana akili.za namna gani?