Wadau habari.
Kwa wiki hizi mbili mfululizo nime notice changes kubwa kwa mwenzangu, ambapo bibi wake amekua wa moto sana napoingia kule, nikagundua muda mfupi kabla ya kulala yeye huingia chooni...
Habari wadau?
Naamini mpo vizuri tu. Nina shida naomba msaada wenu kwa wale wataalamu.
Usiku wa kuamkia leo niotea ndoto ambayo niliona mbwa wakifanya mapenzi na nikaongea nao ( sikumbuki...
Habari wadau, mimi ni mwanaume wa miaka 43 na hitaji mwanamke wa kuzaa nae tu bila kuoana na kumtunza yeye na wanangu hao ikiwemo kumjengea nyumba.
sifa:~
1.awe mha
2.mwalimu wa shule ya...
Nawasabahi wana JF.
Nisiwachoshe sana,nimefika hatua ya kuona sina bahati katika mahusiano. Mara ya kwanza mwaka 2007,nilimpenda msichana lakini alisema hajawahi kufanya mapenzi hivyo mpaka...
Ndg zangu wana JF habarini za Asubuhi?
Ama baada ya Salam niwatake radhi na niombe kushare nanyi jambo 1 ambalo kiukweli haliendani na mada zinazojadiliwa humu kwa siku za hivi karibuni.
It is not...
Unakuta bi harusi anamimba kubwa tu, wakati wa kwenda kuchukua msosi, unamwachia mkeo ashike sahani zote mbili, huku akitembea kwa shida, we ukiwa free ukirusha mikono, huwa nakereka sana.
Hiyo...
Umri wangu miaka30,makazi yangu Dar,dini ni mkristo,sijaajiriwa(sina kazi)naahidi kumpenda kwa dhati atakayenipenda,pia niko tayari kuishi popote pale ndani ya Tanzania,hakuna mashariti njoo...
Wadau salam,
Napata wakati mgumu kumwamini mke wangu kwani nilisafiri wiki mbili, niliporudi hakuonekana kuwa na hamu nami kimapenzi.
Na siku hiyo sikuomba game tukalala huku kabla ya kulala...
Muda mfupi uliopita nimetoka kuachana na mpenzi niliyedumu nae kwa takribani miezi tisa, sababu kubwa ni kila ninapofikilia maisha ya baadae yatakuaje nakosa jibu.
Huyu binti ni mzuri wa...
Wazoefu wa mapenzi wanajua maana ya neno hili lakini wengi wetu hatujui asili yake na kama kweli humaanisha kama wengi tunavyotafsiri.
Wenye kujua watujuze.
"Unata nife ndo uoe? Nataka kuwaona wajukuu zangu"Ni kauli alioitamka baba yangu mzazi Siku moja alipokuja kunitembelea, iliniuma sana.
Nadhani hata nyie mnalifahamu suala la kuoa au kuolewa ni...
Nilikuwa na rafiki yangu mmoja wa kike ktk kipindi tulichokuwa katika mahusiano yetu binti nilimpenda kwa moyo wangu wote kwa kipindi hicho basi ilikuwa ni mahaba niue,mahaba nibebe,mahaba...
Nimeona watu wakipost thread zao wakitafuta wachumba, waume /wake ila wanapoweka vigezo vya umri wanaambiwa mnaowatafuta wameshaoa ila sijaona wakisema unaowatafuta wameshaolewa au wanasema...
Naomba mnisaidie hili tatizo wadau.
Siku za hivi karibuni mke wangu nimempeleka kwao kwa ajili ya kujifungua. Katika harakati za kwenda kumsalimia akiwa kwao, Baba mkwe aliniambie nimkopeshe pesa...
Wazazi wangu walitengana nikiwa na umri wa miaka 12, nikiwa darasa la sita, nilikuwa na akili za kutosha kufahamu sababu ya kuachana kwao ni Dini.
Baba yangu alikuwa mkristo wa kawaida tu...
Hii,
Ni kwa msichana yoyote mwenye age ya 19 hadi 23, mweupe, mkristo, mpole, elimu form 4 inatoka, asiwe mvivu awe na huruma, heshima na adabu aje tufanye maisha asiigize,asiwe na tamaa awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.