Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

MAHITAJI YA MWANAMKE: JITAHIDI KUMFANYA MPENZI WAKO AFURAHI 1. Ulinzi (security) – mwanamke anapenda kuhakikishiwa ulinzi na usalama wake kiafya, kihisia, na kiuchumi. Sio yeye tu...
10 Reactions
76 Replies
13K Views
Utenzi. NANI KAMA MKE. Hodii ndugu zanguni, Naingia uwanjani, Kuwaletea maoni, Mke kumfagilia. Nataka kuweka wazi, Kati yake na mzazi, Nani hasa ana kazi, Ukubwani kifikia. Ya mama tumeyaona...
5 Reactions
21 Replies
5K Views
Mara nyingi nasikia watu wakisema (Nakupenda nakupenda nakupenda) Ila mimi nashangaa sana hio kupenda ni kitu gani zaidi ya Maisha ya kawaida. Ninakua katika wakati mgumu sana kwa maana sijawahi...
0 Reactions
61 Replies
15K Views
Tatizo ambalo limekuwa likiwakuta wapenzi wengi wanaoanzisha uhusiano wa kimapenzi wenye mwelekeo wa maisha ya ndoa ni kuingizwa ‘mkenge’ kwa kufichwa baadhi ya tabia mbaya na wapenzi wao...
3 Reactions
21 Replies
24K Views
Kwa nini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji mke tushiriki kustragle pamoja,yani tuanze ote,mwanzo mgumu ila mambo yatajipa tukikomaa, nina 29 yrs, nahitaji mke mwenye sifa zifuatazo,mweye upendo,awe mkristu ingawa pia na asie...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Unakuwepo kwenye chombo cha usafiri, labda unatoka Mwanza kwenda Dar. Kwenye siti ukapata nafasi ya kukaa na mwanamke, na safari inaendelea. Mara mnaanza kujuana na kupiga mastori, mpaka kufika...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Wachungaji wengi wamekuwa wakitumia haya maneno wanapofungisha ndoa kwamba je,utampenda huyu katika shida na raha? Au je,utampenda katika afya na ugonjwa? Sasa unajua ndoa ni agano, na ule wakati...
1 Reactions
43 Replies
8K Views
Poleni na pilika za uchaguzi wakuu, Mwenzenu tangu nimekuja huku mjini Dar es salaam naona biashara ya muhogo mbichi na nazi zimeshamiri kweli na wateja wakubwa ni waname kama mimi. Hivi...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Mimi ni kijana wakiume natafuta mchumba!!!
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Salaam wakuu. Natafuta rafiki wa kike umri kuanzia miaka 26 na kuendelea. Ntafurai kama ntampata mwaminifu. Popote ulipo unakaribishwa PM.
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Niko tayari kumuoa mwanamke atakaeniwezesha nipate kazi. Nina degree ya uhasibu with upper second. Age 28, am serious, interested welcome inbox
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi ! kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nahitaji sana mwanamke mwenye maumbile makubwa, awe mnene kiasi, maziwa makubwa, matako makubwa. Mimi nipo Dar na kwa mawasiliano zaidi ni...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Habari? Mimi ni kijana wa miaka 32 sijawahi kufanya mapenzi tangu kubalehe kwangu, nahitaji msichana mkristo safi mwenye kumuogopa Mungu, umri si zaidi ya 30, ambaye atakuwa wa kwanza na wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasalaam wana Jukwaa, Nimesimama hapa mbele yenu kuzungumzia kitu kimoja ambacho kimetokea kuwa tabia kwa baadhi ya wanaume wengi tulio ndani ya Jf. Wote tunajua unapo mtongoza mwanamke kuna...
1 Reactions
169 Replies
17K Views
Natafuta Rafiki wa kike mtu mzima wa kubadilishana mawazo aliye tayari ani p.m. tufahamiane.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu, Mimi ni pastor wa kanisa nililolianzisha mwenyewe miaka kadhaa iliyopita, tuna waumini mia tano na kitu, malengo ya awali yalikua ni kupata pesa, hivyo hatukua na upako ila...
1 Reactions
39 Replies
6K Views
I'm a Kenyan with an interest in a Tanzanian gal. She should understand English and ready to live in Kenya.
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Ni mwaka jana nilikutana na huyu rafiki yangu nilipoenda kijijini kwetu. Ana umri wa 30+ lakini hakuwa ameoa ndipo nikamsaili kulikoni hajaoa? ndipo aliponihadithia mkasa ufuatao. "Mwishoni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jana nimetumia kwa mara ya kwanza yani ilikuwa kero ikabidi nivue nitupe. Pia hata my hubby alikuwa hainjoi,kiukweli kondomu hazifai pia hazina raha kwenye tendo la ndoa.
1 Reactions
97 Replies
18K Views
Back
Top Bottom