Chanzo cha wake za watu kuchepuka

Chanzo cha wake za watu kuchepuka

dickdickinyo

Senior Member
Joined
May 19, 2015
Posts
118
Reaction score
53
Unakuta mmekaa uchumba miezi au miaka.Mmezaa na ushamzoea sana hata nice treatment and caring zinapungua.

Sasa akitokea mburula fulani akamtreat vizuri na kumcare hapo lazima mkeo amegwe kisela.

Muwatreat wake zenu nyie viraza mlio kwenye ndoa au uchumba la sivyo mtagongewa.
 
Unakuta mmekaa uchumba miezi au miaka.Mmezaa na ushamzoea sana hata nice treatment and caring zinapungua.Sasa akitokea mburula Fulani akamtreat vizuri na kumcare hapo lazima mkeo amegwe kisela.
Muwatreat wake zenu nyie viraza mlio kwenye ndoa au uchumba la sivyo mtagongewa hadi siku mnaingia kaburini.
Kwani huyo Mburula akiigonga ataondoka nayo?.
 
Unakuta mmekaa uchumba miezi au miaka.Mmezaa na ushamzoea sana hata nice treatment and caring zinapungua.Sasa akitokea mburula Fulani akamtreat vizuri na kumcare hapo lazima mkeo amegwe kisela.
Muwatreat wake zenu nyie viraza mlio kwenye ndoa au uchumba la sivyo mtagongewa hadi siku mnaingia kaburini.

Ishakutokea nn? Sio mbaya kuwakumbusha vilaza wenzio..
 
mke hata umpe kiiila kitu...ukeshe ukitembea umemshiikila makalio....hata um-tumbukize kwenye bustani yenye kila aina ya starehe EDEN....
ATAKUSALITI TU....so fanya yako kiaz ww usijifanye ww kidume utakuja lia km mtoto
 
cheza part yako ndugu moyo wa mwanadamu ni fumbo, wewe cheza nafasi yako muvi iendelee
 
mke hata umpe kiiila kitu...ukeshe ukitembea umemshiikila makalio....hata um-tumbukize kwenye bustani yenye kila aina ya starehe EDEN....
ATAKUSALITI TU....so fanya yako kiaz ww usijifanye ww kidume utakuja lia km mtoto
Hii ni too general aisee. Siyo wanawake wote ni wachepukaji.
 
Unakuta mmekaa uchumba miezi au miaka.Mmezaa na ushamzoea sana hata nice treatment and caring zinapungua.

Sasa akitokea mburula fulani akamtreat vizuri na kumcare hapo lazima mkeo amegwe kisela.

Muwatreat wake zenu nyie viraza mlio kwenye ndoa au uchumba la sivyo mtagongewa.

Kichwa cha habari na maelezo yako ni tofauti kabisa.
Chanzo cha mke kuchepuka na chanzo cha mchumba kuchepuka ni tofauti.
Ni mkeo au ni mchumba.? Kama ni mchumba mnaishi wote?
 
Kuna mengi Sana yanayochangia kuchepuka, hizo ulizotoa ni baadhi ya nyingi zilizopo.
 
Huo ushauri naona hadi dingi yako umeinclude ndani...hawa madogo wa siku hizi bhana.
 
mke hata umpe kiiila kitu...ukeshe ukitembea umemshiikila makalio....hata um-tumbukize kwenye bustani yenye kila aina ya starehe EDEN....
ATAKUSALITI TU....so fanya yako kiaz ww usijifanye ww kidume utakuja lia km mtoto
Na mume pia....
 
Hao ni wale wanawake mnaowaokota barabarani, bar, club na madanguro ndio wanaowasaliti.
 
We lafa ina maana hujawahi kugongewa demu au mke......basi wewe mbulula ujanja ni kugongewa......mkeo asipogongwa nje maanayake ni mbaya,,,,
 
We kiazi jogoo wako atakuwa hapandi mtungi.Hakuna kidume anayependa kugongewa
 
niletee kishtobe chako hicho nikumwagie ulojo mfyetele wewe....
 
Back
Top Bottom