Unavyoweza kufia gest kibwege

Unavyoweza kufia gest kibwege

Mtafiti Madini

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
101
Reaction score
38
Ushawahi kusikia mwanaume amefia gest?
Ushawahi kujiuliza nini kinatokea?

Any way kuna mambo mengi ila moja ni hili: Kuna watu wanatumia dawa za kuongeza nguvu za vidonge vya aina mbali mbali ila kimsingi ni dawa zenye kitu kinachoitwa "Sildenafil" ambacho ndicho kinachowapa hivyo wanayoiita nguvu.

Iko hivi, madawa hayo yanachokifanya, huathiri presha ya damu na kusukuma damu kwa wingi kwenda chini na kujaa kwenye mashine.Sasa ni nini Kinatokea basi; damu nyingi huingia kwenye mashine lakini inakuwa haitoki.

Sasa kinachotokea ni kwamba mabadiliko hayo ya presha yanaweza kusababisha moyo kushindwa kufanya kazi na hivyo kumsababisha mtu kufa kimasihara hivi hivi!. Aidha, damu inayoingia na kutuama humo, husababisha kukosekana kwa oksijeni kwenye kiungo hicho kitu kinachosababisha maumivu makali na hali hiyo ikiendelea kwa muda mrefu, seli kwenye kiungo chenyewe huweza kufa na kumlazimu muhusika kukatwa.Tupo pamoja mpaka hapo!?

Nawasilisha.
 
sasa hao watu wafanyeje? mbona sijaona unawapa advice nini cha kufanya

Wajiepushe na kutumia hayo madawa! hiyo ndio nusura yao na wale wenye matatizo ya moyo waende taratibu maana hata kama hujatumia hayo madawa lakini una matatizo ya moyo, ukijitia una kasi sana tunaweza kukupoteza tukawa tumepoteza nguvu kazi ya taifa buree!
 
Ushawahi kusikia mwanaume amefia gest?
Ushawahi kujiuliza nini kinatokea?

Any way kuna mambo mengi ila moja ni hili: Kuna watu wanatumia dawa za kuongeza nguvu za vidonge vya aina mbali mbali ila kimsingi ni dawa zenye kitu kinachoitwa "Sildenafil" ambacho ndicho kinachowapa hivyo wanayoiita nguvu.

Iko hivi, madawa hayo yanachokifanya, huathiri presha ya damu na kusukuma damu kwa wingi kwenda chini na kujaa kwenye mashine.Sasa ni nini Kinatokea basi; damu nyingi huingia kwenye mashine lakini inakuwa haitoki.

Sasa kinachotokea ni kwamba mabadiliko hayo ya presha yanaweza kusababisha moyo kushindwa kufanya kazi na hivyo kumsababisha mtu kufa kimasihara hivi hivi!. Aidha, damu inayoingia na kutuama humo, husababisha kukosekana kwa oksijeni kwenye kiungo hicho kitu kinachosababisha maumivu makali na hali hiyo ikiendelea kwa muda mrefu, seli kwenye kiungo chenyewe huweza kufa na kumlazimu muhusika kukatwa.Tupo pamoja mpaka hapo!?

Nawasilisha.

Kwa hiyo wanaotumia dawa hizo wote wanafanya mapenzi gest?..nenda katafiti madini huku hapakuhusu
 
iyo midawa yote yanini? mbona mimi napiga mashine mpaka warembo wanakimbia na hivi sasa natafuta dawa za kupunguza nguvu za kivulana maana ni hatari
 
Hivi hizi dawa za nn huko tuendako rabbi tunusuru na vizaz vyetu
 
Ukijifanya kumkomoa mwanamke imekula kwako. Piga kadri uwezavyo. Isifikie hatua ya kumeza hizo sildenafil au vega, njoi, cupid au erector hakika itakula kwako.
 
Wanachotakiwa kufanya wasinywe Dawa za kuongeza nguvu

Ndii maana FirstLady1 ameuliza wafanye nini wakiacha kutumia hizo dawa!maana ndio zina wawezesha kusimama na hatimaye kuweza kufanya,kwahiyo wakiacha wafanye nini wakati bila ya hicho kitu maisha hayaendi.Au waeleze mbadala wake.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom