Nimeshindwa kabisa kumwelewa huyu dada

Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,311
1,225
Ni mara nyingi amekuwa akija kwangu kulalamika jinsi ambavyo baba mmoja anamsumbua sana kumtaka kimapenzi. Bidada hajaolewa lakini ana mchumba. Ila ni mdada mkubwa tu (over 35 years).
Ushauri ambao mara kwa mara nimekuwa nampa ni kujitahidi kuwa mbali na huyo baba. Akutane naye tu kama kuna ulazima wa kufanya hivyo (wanafanya wote kazi) zaidi ya hapo awe mbali naye.
Jana yule dada kanipigia simu kuniuliza kama nitahudhuria workshop ambayo huyo baba kaiandaa (baba ni boss mkuu hapa tulipo, na mimi nafanya kazi nyingi sana na huyo boss). hiyo workshop ni ya nje ya ofisi, kazi yake binafsi, ila alituomba kama tunataka kushiriki kwa njia yoyote ile na ikiwezekana tumsaidie katika maandalizi.
Nikamwambia yule dada kuwa sitahidhuria, akanishangaa kwa nini, nikamwambia kwanza nina kazi nyingi sana lakini pia haikuwa lazima, na kwa nilivyobanwa nisingeweza kujitolea. huyo dada kwanza hafanyi kazi chini ya huyo baba, ingawa tupo idara moja, yeye ana bosi wake. lakini alipoona ile email aliamua kujitolea kumsaidia. kwa vile hafanyi kazi tunazozifanya, kwa hiyo kajitolea kumsaidia logistics wakati wa workshop.......
Hebu naomba mniambie huyu mdada anataka nini? nina uhakika wakitoka huko workshop (maana wanalala huko huko hotel) atakuja kunilalamikia jinsi alivyosumbuliwa.
Hapa nahitaji majibu yale makali kabisa ya kumjibu ili either (i) asije tena kunilalamikia upuuzi anaouendekeza mwenyewe, or (ii) aone clearly kuwa yeye ndo mchochezi mkuu wa hayo mambo kwa hiyo asiendelee kumlaumu baba wa watu.
 
Joel humphrey

Senior Member
Oct 22, 2013
184
0
Anyway sijui lakini ila ninachofahamu na nilivyosoma kwa makini huu uzi wako nahisi kama vile huyu dada alikuwa anataka akulingishie tu kuwa yuko juu kiasi mpaka kufikia kutongozwa na mabosi hasa bosi wenu, nin mawazo yangu sina uhakika nayo kabisa:shocked:
 
Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,311
1,225
Anyway sijui lakini ila ninachofahamu na nilivyosoma kwa makini huu uzi wako nahisi kama vile huyu dada alikuwa anataka akulingishie tu kuwa yuko juu kiasi mpaka kufikia kutongozwa na mabosi hasa bosi wenu, nin mawazo yangu sina uhakika nayo kabisa:shocked:
inawezekana upo sahihi, lakini kwa nini anilingishie?
 
  • Thanks
Reactions: BAK

DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,234
2,000
mmmh huyo ni sitaki nataka. mtu hamtaki kwa nini atake kuwa karibu naye? halafu ni kazi yake binafsi. ww akija kukulalamikia tena umpe makavu live tu
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,279
2,000
Huyo alitaka kujuwa kama na wewe umeshaliwa na boss. Ili ajuwe namna ya kuongea na wewe akishaliwa.

Na wewe umeliwa na huyo Boss?

"Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya." - Qur'an 17:32
 
ilisha juniour

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
690
250
Ni mara nyingi amekuwa akija kwangu kulalamika jinsi ambavyo baba mmoja anamsumbua sana kumtaka kimapenzi. Bidada hajaolewa lakini ana mchumba. Ila ni mdada mkubwa tu (over 35 years).
Ushauri ambao mara kwa mara nimekuwa nampa ni kujitahidi kuwa mbali na huyo baba. Akutane naye tu kama kuna ulazima wa kufanya hivyo (wanafanya wote kazi) zaidi ya hapo awe mbali naye.
Jana yule dada kanipigia simu kuniuliza kama nitahudhuria workshop ambayo huyo baba kaiandaa (baba ni boss mkuu hapa tulipo, na mimi nafanya kazi nyingi sana na huyo boss). hiyo workshop ni ya nje ya ofisi, kazi yake binafsi, ila alituomba kama tunataka kushiriki kwa njia yoyote ile na ikiwezekana tumsaidie katika maandalizi.
Nikamwambia yule dada kuwa sitahidhuria, akanishangaa kwa nini, nikamwambia kwanza nina kazi nyingi sana lakini pia haikuwa lazima, na kwa nilivyobanwa nisingeweza kujitolea. huyo dada kwanza hafanyi kazi chini ya huyo baba, ingawa tupo idara moja, yeye ana bosi wake. lakini alipoona ile email aliamua kujitolea kumsaidia. kwa vile hafanyi kazi tunazozifanya, kwa hiyo kajitolea kumsaidia logistics wakati wa workshop.......
Hebu naomba mniambie huyu mdada anataka nini? nina uhakika wakitoka huko workshop (maana wanalala huko huko hotel) atakuja kunilalamikia jinsi alivyosumbuliwa.
Hapa nahitaji majibu yale makali kabisa ya kumjibu ili either (i) asije tena kunilalamikia upuuzi anaouendekeza mwenyewe, or (ii) aone clearly kuwa yeye ndo mchochezi mkuu wa hayo mambo kwa hiyo asiendelee kumlaumu baba wa watu.

weka picha
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,759

Mwambie haya..
1. Atakuwa anamtaka huyo baba, ila anataka kujuwa akimgegeda wengine mtasemaje....
2. Kitendo cha kwenda kwenye hiyo workshopo kinaonyesha anamtaka hivyo asikuulize chochote juu ya aanaouita usumbufu wa huyo baba..

TUKUWONI....

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,244
2,000
my dearest Fixed Point wala usipate shida na huyu dada, haihitaj kwenda shule ili kujua kwamba huyu dada ni mtu wa staki nataka.....................

yaani ni yule mtu wa banian mbaya lakin kiatu chake dawa, kwa hiyo muda wa kuwa mbaya anakuwa mbaya kweli na muda wa kufanyika dawa anakuwa dawa kweli.

akija kwako mwambie hivi........................you are too old for what she is claiming for, na kutoka hapo mwambie tuendelee kuwa friends but your shits doesn't know me.
 
Last edited by a moderator:

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,220
2,000
Naongezea amwambie akome kumueleza upuuzi wake
my dearest Fixed Point wala usipate shida na huyu dada, haihitaj kwenda shule ili kujua kwamba huyu dada ni mtu wa staki nataka.....................

yaani ni yule mtu wa banian mbaya lakin kiatu chake dawa, kwa hiyo muda wa kuwa mbaya anakuwa mbaya kweli na muda wa kufanyika dawa anakuwa dawa kweli.

akija kwako mwambie hivi........................you are too old for what she is claiming for, na kutoka hapo mwambie tuendelee kuwa friends but your shits doesn't know me.
 
Last edited by a moderator:

Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,311
1,225
mmmh huyo ni sitaki nataka. mtu hamtaki kwa nini atake kuwa karibu naye? halafu ni kazi yake binafsi. ww akija kukulalamikia tena umpe makavu live tu
ha haaa, ndo unisaidie hayo makavu live, wengine misamiati ipo mbali kidogo.
nimejaribu sana kumwambia akae mbali naye lakini naona anazidi kujisogeza karibu tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,140
2,000
Mwambie haya..
1. Atakuwa anamtaka huyo baba, ila anataka kujuwa akimgegeda wengine mtasemaje....
2. Kitendo cha kwenda kwenye hiyo workshopo kinaonyesha anamtaka hivyo asikuulize chochote juu ya aanaouita usumbufu wa huyo baba..

TUKUWONI....

si anataka akamsaidie tu kipindi cha workshop.........
 
Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,311
1,225
Huyo alitaka kujuwa kama na wewe umeshaliwa na boss. Ili ajuwe namna ya kuongea na wewe akishaliwa.

Na wewe umeliwa na huyo Boss?

"Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya." - Qur'an 17:32
ha haaa, anajua kabisa kuwa sijaliwa na bosi...
yeye akitaka kuliwa aendelee tu kwa raha zake. kinachonisikitisha ni kunichosha na malalamiko ambayo anayafwata mwenyewe
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,311
1,225
Mwambie haya..
1. Atakuwa anamtaka huyo baba, ila anataka kujuwa akimgegeda wengine mtasemaje....
2. Kitendo cha kwenda kwenye hiyo workshopo kinaonyesha anamtaka hivyo asikuulize chochote juu ya aanaouita usumbufu wa huyo baba..

TUKUWONI....

yewu mlongo wangu....
asante kwa kunisaidia majibu..... najua kesho tu atanitafuta kulalamika
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Dublin

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
1,116
2,000
Huyo alitaka kujuwa kama na wewe umeshaliwa na boss. Ili ajuwe namna ya kuongea na wewe akishaliwa.

Na wewe umeliwa na huyo Boss?

"Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya." - Qur'an 17:32

Na wewe unawaumbua wenzako vibaya ficha ficha angalau kidogo hata kama ni kweli!!
 
Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,311
1,225
my dearest Fixed Point wala usipate shida na huyu dada, haihitaj kwenda shule ili kujua kwamba huyu dada ni mtu wa staki nataka.....................

yaani ni yule mtu wa banian mbaya lakin kiatu chake dawa, kwa hiyo muda wa kuwa mbaya anakuwa mbaya kweli na muda wa kufanyika dawa anakuwa dawa kweli.

akija kwako mwambie hivi........................you are too old for what she is claiming for, na kutoka hapo mwambie tuendelee kuwa friends but your shits doesn't know me.
ha haaa, umeua rafiki...... yaani I will copy your answers word to word, let her come.
salama lakini rafiki?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom