Nkurukumbi
Senior Member
- Sep 6, 2013
- 196
- 78
Kuna thread ilifunguliwa hapa MMU ikiwa na kichwa cha habari "kwanini wanawake wengi hawaolewi" na mimi nikachangia kisa changu ambacho wadau waliomba nikifungulie thread kwa maana kuna mengi niliyaacha na sasa nimeitikia wito wao.
Iko hivi Nina kisa kimoja nimewahi kukutana na demu mmoja hivi alikuja ofisini kwetu. Kwakweli alikuwa ni mzuri sana na mimi nilitokea kumpenda sana huku nikiamini kama ni mke basi ndo huyu nimempata. Aliniachia namba yake ya simu na mimi bila kupoteza muda nikaanza kumtongoza.
Mwanzoni alikuwa mkali sana akijifanya hanikumbuki kama tumewahi kukutana ama amewahi kunipa namba yake ya simu, alikuwa ananitolea majibu makali ya kukatisha tamaa na sometime hapokei simu wala kujibu msg zangu na akipokea simu tunaongea kidogo halafu anakata na ndo hapokei tena.
Alinitesa sana aisee kama wiki mbili hivi lakini sikukata tamaa niliendelea kumfuatilia. Siku moja bila kutarajia akanipigia simu kunisalimia tukaongea vizuri tofauti na siku zingine kwakweli nilifurahi sana nikatumia nafasi hiyo kuomba appointment, nilimuomba tukutane mlimani city tuongee vizuri.
Unajua nini alichonijibu? basi ni hiki hapa "Wewe una sh. ngapi tukutane?" Nikawa kama sijamwelewa vizuri. Nakamwambia mimi niko vizuri wala usijali wewe njoo tu! Akaniuliza tena una sh. Ngapi ili nije? Nikamuuliza kwani niandae sh. ngapi? nikamwambia chochote utakachotaka utapata usijali. Akaniuliza tena "una sh. ngapi tukutane?" Nikabaki sielewi nini cha kumjibu akanikatia simu.
Ikabidi nimpigie nikamuuliza unamaanisha hela niliyonayo ya kwenda kuspend? au una shida yoyote ya hela nikusaidie? Hapo nikiwa natarajia ningepigwa mzinga hata wa laki mbili kutokana na uzuri na hadhi ya mtoto mwenyewe lakini nikijiamini kuwa sitaaibika nitakuwa tayari kutoa ata kilo moja tu. Lakini mrembo mwenyewe akafoka na kuwa mkali "wewe mbona huelewi bana?" akanikatia simu tena na kunitumia msg "kama huelewi basi kwaheri" nikatulia nikafikiria sana anachomaanisha huyu mrembo make akili yangu ilikuwa hainitumi kabisa kuamini kama anamaanisha mambo ya ngono.
Baada ya kufikiri sana nikamtumia msg huku nikiwa natetemeka mikono nikiwa nafikiria jibu nitakalopewa. Nilimwandikia hivi "au unamaanisha tukaenjoy penzi my dear?" alinipigia simu akajibu hivyo hivyo unavyoelewa na akakata simu na mimi akili kumkichwa nikamtumia msg nina laki moja na yeye fasta akajibu "nije wapi?" Nikamwambia njoo Kagame hotel nyuma ya stand ya mkoa Ubungo.
Nikiwa siamini kama kweli anaweza kuja make nilishindwa ata kulipia chumba nikiogopa nisije kupata hasara asipotokea lakini muda si mrefu baada ya kufika mtoto naye akatia timu nikalipia chumba tukaingia ndani lakini bado nilibaki na mshangao najiuliza ni huyu huyu aliyekuwa ananisumbua kweli? Na mbona ameingia kiulaini hivi? Kibaya Zaidi kaja kwa gia ya pesa kama Malaya? Au ananitega kama nampenda kweli au nataka kumtumia tu? Na mbona alikuja ofisini akiwa mtu smart mwenye heshima yake? Na anaonekana ana kazi na elimu yake?
Hayo ni maswali machache kati ya mengi niliyokuwa nayo kichwani niliona poa tu ngoja niongee naye nimsikilize make nilimpenda sana tangu mwanzo nilipomuona pamoja na uzuri wake alionekana mkarimu pia na dhamira yangu ilikuwa ni kuwa na mahusiano naye kimapenzi hadi kumuoa kama tungeelewana. Cha ajabu hakutaka mjadala aliniambia sina muda nawahi nyumbani kwahiyo tufanye haraka duh! Nilizidi kupigwa na butwaa lakini nikajipa moyo acha nimgegede mtoto kajileta mwenyewe.
Nikamgegeda vya kutosha nilipomaliza cha tatu akaniuliza "kwahiyo umetosheka naweza kuondoka?" nikamjibu ndio nikampa kilo moja yake akatimua baada ya hapo nikawa kila nikimhitaji namwita namgegeda nampa chake anatimua ila bei ikawa inapungua kila siku zinavyokwenda make tulizidi kuzoeana ilifikia hadi kwenye 20,000/= na baadae nikamchoka nikaachana nae make hatukuwa na future Zaidi ya kuniuzia papuchi. I
la nilibaki na maswali mengi kichwani hivi mdada mzuri kama huyu unatokea mtu unampenda na una nia ya kumuoa ila anakuonyesha wazi yuko kimaslahi na anachofanya ni biashara tu...duh! inasikitisha sana make nilichopata sicho nilichokitarajia, hivi ni frustration?, hali ngumu ya maisha? Tamaa? Au baadhi ya wadada mnaamua kuchagua maisha hayo hata kama atatokea mtu wa kukupenda na kuwa tayari kukuoa?
Naomba mnijibu wadau.