Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Walipatana kwamba jirani aje amgegede mkewe hadi ampe mimba, wakakubaliana ada na akalipa. Sasa baada ya ngoma mara 72 matokeo bila bila, akamburuza huyo jirani hadi kituo cha afya kufanyiwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
habarini wana jf. kunawa2 walikuwa wanabishana kuhusu umri sahihi kwa wanaume kuoa na ku2lia kwenye familia na mwanamke kuolewa na ku2li kwenye familia.embu tupeane mauzoefu karibu:juggle:
0 Reactions
129 Replies
43K Views
Sio Kila EX wako anayeomba Mrudiane anamaanisha. Wengine huomba kurudi ili wakutesti tu jinsi ulivyo Mbulula, jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo CHEAP na huna Misimamo wala Future. Mtu...
13 Reactions
74 Replies
11K Views
Habari msomaji wa uzi huu. Ni siku nyingine tena tumekutana jamvini. Twende kwenye mada... Watu wengi hupendelea kufanya mapenzi wakiwa bafuni au chooni wakiwa wanaoga, asilimia kubwa...
1 Reactions
138 Replies
45K Views
Habari wakuu, Mimi kama binadamu nina hisia. Kwenye nafsi yangu kuna kitu kinakosekana na hiki kinaniumiza kwa ufupi nimelelewa na mama tu baada ya mzee kufariki nikiwa mdogo sana,tuseme...
8 Reactions
101 Replies
12K Views
Hivi mwanamke anatakiwa awe na Padlock (makufuli) mangapi na mwanaume pia.Afu wapenzi tujali kununua na kubadili za zamani unakuta mtu anavaa hadi inatoboka. Na pia ni kwanini wanawake hawapendi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wana JF, mimi ni kijana wa kiislamu nimezaliwa katika uislamu, na pia nimepata mafunzo ya dini kwa kiasi kikubwa sana, lakini sasa nimefikia maamuzi ya kubadili dini, ila tatizo lipo katika...
0 Reactions
7 Replies
109 Views
mimi ni kijana wa miaka 27, nimehitimu chuo na sasa nafanya kazi serikalini. nina mchumba ambaye naye baada ya kumaliza kidato cha 4 aksoma kozi za computa nae kwa sasa ana kazi. huyu binti...
0 Reactions
95 Replies
22K Views
Niaje wakuu, Wanawake bana waajabu sana, nilimpenda sana msichana mmoja akanifanya nisahau na kuacha vitu vingi tu nilivyokuwa nimezoea, kiufupi nilikuwa sijazoea kuwa na msichana mmoja kwenye...
1 Reactions
69 Replies
11K Views
Habarini waungwana, Naomba ushauri wenu nifanyaje. Mwanaume aliniacha bila sababu mbele ya wazazi sasa anataka nirudi, ila hataki kuja kwetu kuwaambia wazazi. Sasa sielewi hivi naanzaje kwenda...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Salaam ndugu na jamaa zangu, Ninayo furaha kuwajulisha kuwa nimepata watoto mapacha leo wa kike na wakiume. Naombeni ushauri majina gani niwape yenye maana yanayoanzia na M.
1 Reactions
61 Replies
70K Views
Huyu ni mwanadada aliye mke wa mtu japo yeye sio miongoni mwa wale walio katika mpango wangu endelevu wa kugegeda wake za watu ikiwa ni operesheni yangu ya kufidia maumivu niliyowahi kusababishiwa...
1 Reactions
58 Replies
7K Views
Wapendwa wana JamiiForums nawasalimu, Baada ya kupoteza kazi yangu niliyumba sana, niliwaza nitaishije bila kazi hapa mjini, hata hivyo nilijipa moyo kwamba kwa kuwa wife ana kazi Basi mambo...
37 Reactions
294 Replies
40K Views
hakika mwenyezi mungu ni mmoja na muhammad ni mtume wake
1 Reactions
125 Replies
11K Views
According to a recent study by Siteopia.com, volunteers were asked what kind of names they associated with people being good spouses. Well, Don't hate the player.....
4 Reactions
159 Replies
17K Views
Habarini wapendwa. Natumaini nyote mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kila uchwao. Lengo la kuja kwenu humu ni kama heading inavyojieleza hapo juu. Kifupi mimi ni kijana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
In the Tarime district of the Mara region in northern Tanzania an age-old tradition involves women marrying women. This alternative family structure, known as Nyumba Nthobu, has become a...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Kumekuwa na wimbi la baadhi ya wanawake kuolewa na kufanya harusi wakiwa ni wajawazito. Maoni yenu ni nini juu ya wanao oana wakati mwanamke akiwa mjamzito? Je, maandiko ya Mungu yasemaje juu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
MAHITAJI YA MWANAMKE: JITAHIDI KUMFANYA MPENZI WAKO AFURAHI 1. Ulinzi (security) – mwanamke anapenda kuhakikishiwa ulinzi na usalama wake kiafya, kihisia, na kiuchumi. Sio yeye tu...
10 Reactions
76 Replies
13K Views
Utenzi. NANI KAMA MKE. Hodii ndugu zanguni, Naingia uwanjani, Kuwaletea maoni, Mke kumfagilia. Nataka kuweka wazi, Kati yake na mzazi, Nani hasa ana kazi, Ukubwani kifikia. Ya mama tumeyaona...
5 Reactions
21 Replies
5K Views
Back
Top Bottom