Hatimaye nataka anza(nianze) kupenda

Hatimaye nataka anza(nianze) kupenda

no nm

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
212
Reaction score
32
Mbinu na vitendea kazi mahususi kabisa ni vyepi?

NB-Nifundishwe kwa kutafuniwa na kumezeshwa

I love you all,
Ahsante
 
Kuwa muongo muongo afu na mpunga wa kutosha,hakika utawatumia kama tomatoes.
 
Hivi kupenda watu wanafundishwa kumbe eeeeh...
Ngoja nisubiri walimu waje mana mtoa Uzi kaomba twisheni.
 
Hivi kupenda watu wanafundishwa kumbe eeeeh...
Ngoja nisubiri walimu waje mana mtoa Uzi kaomba twisheni.

Karibu tujumuike pamoja darasani kujifunza upendo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom