kinyangesi
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 247
- 86
Habari wadau?
Naamini mpo vizuri tu. Nina shida naomba msaada wenu kwa wale wataalamu.
Usiku wa kuamkia leo niotea ndoto ambayo niliona mbwa wakifanya mapenzi na nikaongea nao ( sikumbuki tuliongea nini) lakini walikuwa na nyeti kama za binadamu. Sijaelewa inaashiria nini.
Asubuhi na mapema tu mchumba wangu alinipigia simu ( yeye anaishi mkoani) akaniambia ameota ndotoni ati ni mjamzito!
Kwa kweli ndoto hizi mbili zimeniacha na maswali.
Naomba mnisaidie kunipa maana zake tafadhali