Habarini wakuu,
Ninaomba kujuzwa haya:
U miss ulianzia wapi? Na kusudi lake kuu ni lipi hasa?
Mfano:- Wakipambanishwa mamiss kadhaa, je yule mshindi kati ya wote (ambaye pia anapata zawadi kubwa...
Habari zetu,
Yaaani sisi tusio na magari hatuwapendi kabisa hawa wenzetu wenye magari. Uchunguzi umeonyesha kuwa wengi huwa tunachukia kutokana na wivu na tamaa.
Mtu mwenye gari akisema...
Kijana amekuwa katika mahusiano kwa muda mrefu sasa ndoto zao ni ndoa.
Tatizo lipo kwenye Dini msichana yeye yupo tayari kubadili na kuwa Muislam na hata mama yake msichana anamuunga mkono...
Kuna mdogo wangu (kiukoo) kanifuata Jana na kunisimulia kitu kilichomkwaza katika mahusiano yake.
Ana mahusiano na binti kwa muda wa miezi 9 sasa. Binafsi anasema kakolea na mwaka ujao alitaka...
A child psychologist says the mouth is an erogenous zone and can confuse a child
A doctor has warned parents against kissing their children on the lips, arguing it is too sexual.
Many...
Bwana YESU asifiwe!
Aina ya kwanza ya ndoa ni:
1.Ndoa ya kutungua
> Hii ni ile ndoa ambapo watu wanakutana tu na kupendana na hapohapo wanaanza mahusiano kwenda guest. Huyu anasema "nimekuzimia"...
Habari zenu wakuu,
Usiku wa kuamkia leo sitakaa niusahau katika maisha yangu,yaani tarehe 2/8/2015 saa 5:40 usiku katika hotel moja Mwanza ambayo naihifadhi jina kwa sababu za kibiashara,ni siku...
Nina wake zangu wawili wa ndoa ya Kiislaam yapata miaka 3-4 sasa , Mke mdogo kwa takribani miezi 8 sasa amekuwa akinidai kuongeza mke mwingine ili wawe watatu , Mke huyu ana watoto wawili na...
Waheshimiwa,
Kuna huyu mchumba wangu ambae amehamia kwangu tunaishi pamoja sasa, tunatarajia mtoto pia kabla hajahamia kwangu nilikua naishi na msichana wa kazi nilietumiwa na mama yangu mwaka...
Jamani naomba ushauri wa kujenga tu!
STORI NI NDEFU KIDOGO TAFADHALI SOMA UPATE KUNISHAURI;
Kuna mdada mmoja alitokea kunipenda mpaka akanitamkia na kwa vile mimi sikuwa ktk mahusiano wakati huo...
Kuna hali huwa inawatokea wanawake wengi pale wanapokutana kitandani na mwanaume kwa mara ya kwanza.
Jambo la kwanza ni kushikwa na udadisi wa kutaka kujua maumbile ya mwanaume aliye mbele yake...
Mimi sipo katika ndoa ila nasikia sikia kwamba wanaume wenye wake zenu hampendi na mnajisikia vibaya (kichefuchefu) mkiwaona wanawashikashika watoto muwapo chumbani .
na muda huo ambao mama...
Napenda tuangalie kwa pamoja japo sikumbuki vizuri mfumo huu wa haki sawa kati ya mwanaume na mwanamke umeanza mwaka gani ila una zaidi ya miaka mitano plus. Nataka tuchambue kwa pamoja tuone kama...
Habarini za muda huu wana Jf,
Uzi huu unawahusu wadada wote,kuna biashara nzuri tu yenye msingi mdogo ila inalipa sana.
If interest pm me nitakujibu only for those in Dar es salaam.
Hizi ndoa zina changamoto nyingi. Nilimuo mke wangu mkubwa miaka minne iliyo pita mke wangu nilikua nampenda sana ila baadae alianza kubadilika na akawa na jeuri ya hali ya juu. Kielimu mimi...
Habari wana JF,
Kwa hakika yamenikuta mazito sana nahitaji ushauri wenukuna msichana nilimpenda sana kwa lengo la kumuowa akanitambulisha kwa mzazi wake wa kike mama hakuleta akaniambia kua...
Wakuu habari,
Mimi ni mvulana na nlikua na mpenzi ambae tulipendana sana,mambo yalibadilika baada ya rafiki ake kunifata na kunitaka kimapenzi,kwa bahati mbaya nilishindwa kujizuia na kufanya nae...
Hili jambo ni kuwatahadharisha wanawake ambao wapo ndani ya ndoa na kuwaonya wanaume wote walio ndani ya ndoa waache tabia ya huyu jamaa, pia kutaka ushauri wenu wana JF.
Kuna binti mmoja tuko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.