Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Awe mwislam
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini humu, Kwanza nawapenda mabinti, nawaheshimu na kuwathimini sana. Nimefanya utafiti wa kutosha kwa hawa ndugu zetu. Kipindi unapowafuatilia yaani kuwataka kimapenzi huwa wanatoa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau, Kuna Jamaa mmoja tunafanya kazi ofisi za karibu hapa Town hivyo sometimes tunakutana Lunch hour kwenye menu jirani na tunapofanyia kazi, na bahati nzuri zaidi Mke wa huyu jamaa alikua...
3 Reactions
169 Replies
21K Views
Mara baada ya kumtongoza tu alifungua gunia la shida utafikiria mimi ndo nilimtwika. Hata mzigo sija gonga. Mara nimeipenda T-shirt yako naiomba, mara sijala tangia jana, mara ninashida na elfu...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Eti Jamani inawezekana hii? Mama kazaa watoto wawili mapacha, muda mmoja , saa moja, hospitali moja na mganga alomuhudumia ni mmoja. lakini baba mtu kamkataa mtoto mmoja anasema si mwanawe eti...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wanawake wa siku hizi mnachagua mno yani tofauti na mama zetu ambao walijali upendo zaidi huku wakiamini maisha ni kutafuta hivyo walizaa na baba zetu bila kujali kwamba walikuwa na hela au laa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Salamu kwenu wadau, Nashukuru sana wana jukwaa hili kwa mchango wenu wa mawazo na njia mtaoza anapokwama mtu,hakika huo ndio upendo wakweli.Niliomba hapa ushauri wakati fulani yakuwa niweakati...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Haiyaa poleni na mambo ya uchaguzi, Mungu ni mkubwa hatimae tumpempata Rais mpya, maisha yanasonga. Back kwa topic , Ndoa ni kitu kizuri sana pale panapokuwapo na utayari wa mioyo ya pande zote...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Siku ya kwanza nilipooa nilijisikia raha sana. Nilipokwenda honeymoon sikutaka kumwachia kabisa my honey, nilikuwa nataka kila muda tu tugegedane! Mpaka leo miaka kadhaa ya ndoa hamu haijapungua...
1 Reactions
42 Replies
14K Views
Vijana wengi hawaoi wala kuolewa sababu ya maisha magumu,tutegemee hali hii kuendelea kwa miaka mingine mitano, kama binti una miaka 30 hujaolewa ndio basi,pia kukataa mimba kutaongezeka sana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
For Love Or Green Card - The Relationship Between African Men and White Women - How Africa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaaam hapa jukwaani wote. Tuchangiane mawazo katika hili.Maana kuna rafiki yangu mmoja wa kihindi aliniambia wao wanaoa halafu wanapenda,wakati sisi waswahili wengi wetu tunapenda halafu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Miaka yangu 24,natafuta NTU ambae ana sifa yeyote apo juu Kama mwanamke awe mchumba au hata urafiki wa kawaida Kama Me awe rafiki wa kawaida wa kushare experience za maisha.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za huku. Hongereni kwa uchaguzi ulioisha hivi karibuni. Ndugu wanajamii nina mke ambae ana wivu na mimi mpaka nafikiri kumuacha maana hataki hata niongee na watu wa jinsia yangu. Yeye...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
(By Dayan Masinde) 24. ?Attractiveness? This is the unique thing that makes a man pursue a woman from the beginning. If a woman wants to keep on being pursued she should remain attractive, even...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Habarini za muda huu wadau, Kuna rafiki yangu anaboyfriend wake wamekaa kwenye mahusiano kwa miezi kama mitano wakiwa mbali yani mikoa tofauti kwahiyo ulipatikana upenyo wa wao wawili kukutana na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Aisee kati ya mabinti walio kwenye ndoto yangu ni wa asili ya kinyarwanda au wanyawezi,sijui kwa sababu nimekaa maeneo hayo nakuwaona,sijui
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna jirani yangu ana mkewe kimsing huwa wanazozana lakini yanaisha sasa juzi jamaa akawa anamlalamikia mkewe kwanini hamjali mda wote yeye kakaa na dada wa kazi jamaa yuko sitting room...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Hivi karibuni nimepata msichana Mpya baada ya yule Wa kwanza kunisumbua kwa kupenda pesa kuliko maelezo na ukatokea ugomvi mwisho tukashindwana Sasa nikapata msichana Mpya, tumetoka outing Mara...
9 Reactions
120 Replies
13K Views
MUHTASARI WA HABARI: Mke anainuka kutoka kitini: "Puuuuuuu (ngumi ya kichwa kwa mumewe)! Unakwenda wapi wewe malaya mkubwa! Abiria: Weweeeeee! Usimuue mumewe! Mume: Mimi nasafiri kwenda kikazi...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Back
Top Bottom