Alinikuta bar nausubiria mchepuko ufike huku nikipata safari ya baridi.Baba mdogo akavuta kiti akakaa na kuagiza kinywaji.Muda si muda mchepuko unafika.ILe umesalimia na kukaa ba mdogo akanivuta...
Nina boyfriend ambaye soon atakuwa mchumba wangu kwan anataka apeleke posa home na kutoa mahali ili shughuli nyingne ziendelee.Tatizo langu lililonileta hapa ni;
1.Familia yangu pamoja na marafk...
Kumekuwa na ulalamishi sana miaka ya karibuni kuwa wanaume sijui tupoje,tunawaacha bila sababu ila kumbe sababu zipo tu ila wengi hawajazijuaga tu.Nimeona nibainishe sababu zangu kadhaa ambazo ni...
Mimi kijana wa umri wa miaka 25 natafuta mwanamke wa kuoa umri miaka 20-25 asiwe mnene sana au mwembamba sana ,angalau 4m 4 na kuendelea mimi ni 4m 4 nafanya biashara nipo dodoma ,contact me...
Mimi ni kijana umri 29 binafsi natafuta Rafiki Wa like ambaye tunaweza Fanya maisha pamoja sibagui dini ranging wala kabila binafsi naamini kuwa kazi sio mahusiano Bali mahusiano usaidia kuleta...
ADABU YA MUME KWA MKEWE.
1, Usitangaze udhaifu wa mkeo kwa
familia na marafiki, kila mmoja
anamtunzia mwenziwe hadhi yake.
2, Usiwe na mtizamo mbaya wala
kuzungumza naye kwa hisia kali
huwezi...
Huu msemo nimeamini sasa!! Japo nilikua nauamini, lakini sasa nimezidi kuuamini. Nimetoka Dar nimekuja mkoani kikazi, nyumba nayoishi pembeni kuna jirani nilietokea kupatana nae, na mimi kuja mtaa...
Nina miaka 29 natafuta mke awe mcha mungu,awe anajitambua na mkristu, aliye kanda ya ziwa ntampa kipa umbele zaidi. awe na umri kuanzia miaka 20-27, elimu kuanzia form four.
Alie tayari atume...
Habari zenu wapendwa,
Nimeolewa na nina mtoto mmoja na nampenda sana mume wangu.
Mimi na hubby wangu tumekaa ktk relationship for more than five years ndipo tukafunga ndoa.
We were so much...
Habari wanajf,jaman naombeni ushauri kuhusu hili maana mpaka sasa sijaelewa anamaanisha nini..mmi nina mpenzi wangu ambaye huu sasa ni mwaka wa tatu nipo nae sasa hivi juzi kati wakat tupo...
Hivi ulishawai kupenda vitu flani flani kutoka kwa mwanamke awe wako au sio wako au mchepuko vyovyote vile ila awe mwanamke... Hakuna kitu kina nivutia kwa mwanamke kama vidole vyake hasa vya...
Educated from diploma to degree level,serious you want marriage,u have a good vision of what u want in marriage,u like to create ur family!!!u have a good shape!! .job or jobless!!!.here lm ur man...
Kwenye mapenzi ya dhati, kula tunda ni kiunganishi, na kinapendeza zaidi wote mkifika kwenye kilele.
Pesa pia nayo ni pambo la penzi, zikiwepo kunakuwa na vacations, outings, candle light dinner...
Mambo vipi hapo,
Ni hivi mimi ni fundi bomba maarufu hapa Singida sasa kuna wakati niliitwa na jamaa mmoja hivi nikamtengenezee bomba ilikuwa inamwaga maji hovyo. Sasa nilifanya ile kazi hadi...
Habarini wana MMU,Natumai wote ni wazima kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu na wale ambao si wazima Mungu awaponye.
Wapendwa leo ningependa tujadili juu ya usiri wa mali katika ndoa,Katika jamii ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.