Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

She MUST POSSESS the following Qualifications: 1. Not married before, not have kids before. 2. Age...not more than 28 years old. 3. RELIGION - preferably Roman Catholic but also can be either...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina mtoto kana miaka miwili, niliachana na mzazi mwenzangu nikiwa na mimba ya miezi mitano,toka hapo sikuwa katika mahusiano ya kimapenzI,mwanangu amenitimiza miaka miwili ila bado ananyonya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Bwana Yesu asifiwe! Nimeona vyema kuwapa faraja wachumba ambao leo hii wametengana! Yawezekana ndugu yangu umeachwa na mchumba wako, tuliza akili yako ni sawa tu, unaonaje? Je ni bora akuache...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu natumaini hamjambo. Natangaza leo ya kwamba kwa yeyote aliye na ujauzito asioutarajia au kupenda tafadhali asitoe mimba, asubiri mpaka atakapojifungua kisha kama hamtaki mtoto asimtupe...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mim n kijana rijjali Kabisa 22 yrs natafuta mchumba hapa hapa dsm uMiri awe 20-26
0 Reactions
2 Replies
2K Views
UKITAKA UGOMVI NA UJUE KAMA MKEO NIMARIDHIA BASI NI HAPA! MUME: Mke wangu mpenz!...MKE : Abee!! mume wangu mpnz pumzi ya maisha yangu! MUME: Nakupenda sana mke wangu mlezi wa familia yangu! MKE...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Almost 5 years sasa niko kwenye relationship na dada mmoja, sawa kila binadamu ana mapungufu ila kiukweli hakuna kitu sipendi kama mtu kua disorganized hio ni sifa nambari 1 kwangu itayo fanya...
1 Reactions
125 Replies
12K Views
Wadau wana Jf, Nina mdogo wangu wa kike mtoto wa mama wa kambo ni mzuri mno na ananitaka kimapenzi na huwa muda mwingi na baki nae nyumbani na anashinda na kanga moja na kuniletea mitego mingi...
0 Reactions
76 Replies
25K Views
kuwa na mahusiano kimapenzi sio tiketi ya kutaka mwanaume ndio awe anakupatia fedha kwa ajili ya kuendeshea maisha yako. wanawake acheni uvivu wa kufikiri na kurahisisha mambo, jengeni utamaduni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
BORESHA NA RUDISHA NGUVU ZA KIUME NDANI sYA NDOA YAKO URUDISHE FURAHA YA NDOA! Katika tafiti za sasa zinaonesha kuwa tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni la kawaida maana tafiti zinaonesha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Salamu za mchana wanaMMu wote. Mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipanga kuoana mwakani ila kwa sasa sipo nae kutokana na matatizo niliyotokea. Mimi na huyu mwenzangu ni marafiki toka...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
He met her at a party. She was so outstanding, many guys chasing after her, while he was so normal, nobody paid attention to him. At the end of the party, he invited her to have coffee with...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Umri wangu ni 28yrs, ni mkristo mwenye hofu ya Mungu. Nina shahada ya kwanza, ni mfanyakazi. natafuta msichana/mwanamke mwenye mapenzi ya ukweli, mwenye nia na malengo ya chanya ya kimaisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kama we ni mdada, unahisi unajiamini na ni mtu mzima unaejielewa (i mean +18). na unahitaji kuwa kwenye mahusiano yaliyo serious, umri usizidi miaka 28. plz nipm. nota bene; kama haikuhusu pita...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I Ihave Got a good men i wish angekuja hapa akasoma. Wanaume wazuri bado wapo kumbe wanaume waliotulia bado wapo kumbe, i thank God for this Guy i never thout i could fall in love again m not...
6 Reactions
223 Replies
19K Views
¤ Kazi zote za nyumbani anamwachia dada wakazi. ¤ Kazini kwake amesha vuruga na wenzake karibia wote mpaka bosi wake. ¤ Kachukua mkopo 12m toka bank ya crdb hajanishirikisha mwezi wa tatu sasa...
2 Reactions
126 Replies
18K Views
Mimi Nina umri was miaka 27 nahitaji mchumba wa kujenga nae familia kwa Maelezo zaid 0683386401 sio utani jamani wana wa jf
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jinsia yangu: mwanaume Natafuta mchumba wa kike Lengo: Kuoana kama tukiridhiana Umri wake : Asizidi miaka 25 Mwonekano wake: umbo la wastani, ( asiwe mnene sana au mwembamba sana) Elimu yake...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna hii tabia wanayo sana wasichana wasomi akishapata mtoto tu hataki cha ndoa wala familia. Je, wakipata mihemko inakuwaje hapo?
0 Reactions
62 Replies
12K Views
Back
Top Bottom