Binti Mnyarwanda au Mnyamwezi aniPM

Binti Mnyarwanda au Mnyamwezi aniPM

LuCKNOVICH

Senior Member
Joined
Jan 22, 2011
Posts
104
Reaction score
11
Aisee kati ya mabinti walio kwenye ndoto yangu ni wa asili ya kinyarwanda au wanyawezi,sijui kwa sababu nimekaa maeneo hayo nakuwaona,sijui
 
We si ndio una mkono wa birika? Utaendelea kuwacheki ndotoni teh
 
mi sina ukabila ila mwenye shepu ya kueleweka ndo habar ya mjin..looooveee them
 
Nenda Kigoma maeneo ya mpakani ila humu JF utaendelea kuwaota tu.
 
Kwanini usiende Rwanda? Nenda ukakae miezi 6 au zaidi kwa hakika hapo hutakosa chaguo la moyo wako
 
Kuna jirani yangu bomba tu kwa jina Nyaso labda nitakusemeshea
 
Back
Top Bottom