Bila ya Rehema yake mwenzenu basi tena

Bila ya Rehema yake mwenzenu basi tena

Pendaelli

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
13,027
Reaction score
38,457
Salamu kwenu wadau,

Nashukuru sana wana jukwaa hili kwa mchango wenu wa mawazo na njia mtaoza anapokwama mtu,hakika huo ndio upendo wakweli.Niliomba hapa ushauri wakati fulani yakuwa niweakati gani ufaao kutokea msichana na kuongea nae kuhusiana namahusiano yapelekeayo ndoa,nilijibiwa nakushauriwa vyema na kuutumia.nikaomba naushauri mwengine labda ningeulizwa nafanya kazi gani,napo nikapewa ushauri wa maana nakuuzingatia yale ya msingi.

Wakati huo kuna wadada kama 3 niliwaonaga Kanisani kwetu nikavutiwa nao lakini jisni ya kuwatokea ndio iliniwia vigumu.kwa bahati nivutiwa na dada 1 anapitaga karibu na kazini kwetu nilichofanya nikaingia kwenye maombi kama siku 3, siku niliokusudia nikamtokea asubuhi nikamsalimia akaitika nikapata moyo kweli yani,nikaomba kuongea nae jion arudipo akakubali jion ikafika akantolea nje akaniambia kesho saivi anawahi.

Kesho ikafika nikamsalimia ile kuniona tuu hakugeuka hata nyuma hakuongea salam kmya daa siku hio niliumia sana lakini nikapata tumaini kwani nilimwambia Mungu kwenye maombi mapenzi yake yatimizwe impendezavyo,nikajua si mapenzi ya Mungu, miezi kama 3 mbeleni nikiwa kanisani akachelewa dada 1 ile anaenda kukaa viti vya mbele sinikamuona nilimpenda lakini nikajizuia misa ikaisha.

Kama kawaida nikaenda kuomba hadi jpil iliofuata sikumuona ye alienda misa ya 2 mi niakaenda ya 1 tukapishana nikendelea kuomba wiki iliofuata nikamwona ibada ilivyotoka nikamfuata japo sina uzoefu sana wa kuongea na wadada lakini nikijikaza nilitembea nae kama km1 nikiomba mawasiliano alivyokaribia kwao akachukua namba yangu,nikasubiria anibeep tu huku naendelea kuomba nakufunga nikubaliwe tu niondokane nahaya mateso.

Wiki 2 hakuna cha kubipiwa wala nn!nikapata wazo ni mundikie barua,niliindika hio barua toka saa 7 usiku mpaka 11 asubuhi nilijieleza kinagaubaga na maangiko mengi tu nilitumia nikamuekea 10000 ndani ya usumbufu jpli ikafika nikampa akapokea, nilifurahi mno nilijiona nimeutua mzigo uliokua umenielemea sana,basi jioni ya ju3 ikaja sms "kama unanipenda twende kwa wazazi wangu".

Nilimshukuru Mungu mno lakini nilipoijibu hakujibu,mpaka alhamisi yake akanisalimia kwa salam ya kanisni kwetu tukaanza kuchati wee ila ni salam salam tuu nikamkumbushia akaniambia ngojea atafakari.nkiwa kimya mpaka jpl akaninisms njoo uichukue barua yako ulio nipa sikuenda nikamwambia aichane tuu lkn akataa nikaja mpigia siku nyingine nilimbembeza hadi mchozi alikataa katakata hawezi kuolewa siivi anawahangaikia wazazi wake na wadogo zake kwanza wasije kufanya kazi kwa watu kama yeye.

Kila nilivyo msihi karibun saa 2 alikataa katakata sms zote nimemtumia hata 1 hakujibu kama kuumia nimeumia kwa kweli sijui ni kwa sababu gani wadada hawanipendi mwaka wa3 sasa toka nilipo achwa sijawaikuambiwa nakupenda wala moyo wangu haujapendwa! Daaaah jamani pesa sina swaga za vijana sinazo jumlishia na upole na ukimya wangu huku kutaka kuoa huku kama si Rehema za Mungu nimesha kwama.

Mungu abarikie jamani kuoa jamani kusikieni tuu.
 
Daah nimemiss kuandikiwa barua jamani teh. Sipati picha hilo gazeti la kuandikwa Saa 7 hadi 11. Eeeh uliweka na elfu 10 ndani jamani mweee

Mpendwa kwanza nikusifu maana ni wanaume wachache sana wanaoomba kwa ajili ya "wachumba ". Ambacho nashindwa kuelewa ni kwamba unapenda kweli au na tamaa inakuwepo pia. Unawapendaje mabinti watatu kwa wakati mmoja? Unafanya ana ana do kwamba atakayetick ndo huyo huyo ama? Why unapohisi umevutiwa na binti usiingie kwenye maombi kwanza ili Mungu akuoneshe kama ni mtu sahihi au sio. Kwa sababu hiyo tongoza tongoza itakuharibia sifa. Imagine kanisani mabinti 5 wote wanagundua umewatongoza, watapata picha gani? Upweke wako usikufanye ukawa desperate ndo maana kila binti unamtamani. Tulia, let things happen naturally, usilazimishe kuwa kwenye mahusiano
 
niliiandika hio barua toka saa 7 usk mpaka 11 asubuhi nilijieleza kinagaubaga na maangiko mengi tu nilitumia nikamuekea 10000 ndani ya usumbufu jpli ikafika nikampa

Mpendwa,hii ilikuwa mwaka gani? Pole lakini,Mungu ni mwema ipo siku atajibu maombi yako.

Halafu siku nyingine usisahau kuweka paragraph.
 
Hiyo barua sijui iliandikwa vipi ikiwa hapa tu hujaandika katika aya (paragraph)!!
 
Huwa napitaga tu ila leo hili lako limenigusa...so let m tel u bro, unajua wanawake wanavutiwa na vitu vng kwa wanaume ila chakwanza ambacho ni muhimu n usmart coz hata ukitokea kwenye kona ye akiwa upande mwngne anaona ya thats guy, sa cjajua kama w muonekano wako uko poa na kama uko poa kimuonekano bt bado wanakukataa bac itakua unao wafuata wewe watakua wanawatu wao....ila anyway ushaur n kwamba usije ukaforce mapenz kwa msichana maana waweza fanya hvyo na akakuonea huruma kwel bt akawa hana upendo kwako ila we ukajiweka ile ile yan, hapo utaumia vbaya na utaona n kheri ungekua pekee lke nw,,,so we endelea kuomba tu maana wapo watakao kupenda tu maana kila mtu aliumbiwa wake hiyo n kiiman zaid.
 
Eti 10,000 wenzio tumekopa benk kwa ajili ya kuhoga tu... kwa mwendo huo tafuta tu box la OMO
 
mwanaume lazima ujiamin. kama hujiamini utaishia kula kwa macho.
ukiwa kanisani zingatia ibada na sio kupepesa macho kuangalia wasichana.
 
pole sana mkuu ila wanawake wapo wengi sana utampata tu akupendae usikate tamaa
 
Salamu kwenu wadau,

Nashukuru sana wana jukwaa hili kwa mchango wenu wa mawazo na njia mtaoza anapokwama mtu,hakika huo ndio upendo wakweli.Niliomba hapa ushauri wakati fulani yakuwa niweakati gani ufaao kutokea msichana na kuongea nae kuhusiana namahusiano yapelekeayo ndoa,nilijibiwa nakushauriwa vyema na kuutumia.nikaomba naushauri mwengine labda ningeulizwa nafanya kazi gani,napo nikapewa ushauri wa maana nakuuzingatia yale ya msingi.

Wakati huo kuna wadada kama 3 niliwaonaga Kanisani kwetu nikavutiwa nao lakini jisni ya kuwatokea ndio iliniwia vigumu.kwa bahati nivutiwa na dada 1 anapitaga karibu na kazini kwetu nilichofanya nikaingia kwenye maombi kama siku 3, siku niliokusudia nikamtokea asubuhi nikamsalimia akaitika nikapata moyo kweli yani,nikaomba kuongea nae jion arudipo akakubali jion ikafika akantolea nje akaniambia kesho saivi anawahi.

Kesho ikafika nikamsalimia ile kuniona tuu hakugeuka hata nyuma hakuongea salam kmya daa siku hio niliumia sana lakini nikapata tumaini kwani nilimwambia Mungu kwenye maombi mapenzi yake yatimizwe impendezavyo,nikajua si mapenzi ya Mungu, miezi kama 3 mbeleni nikiwa kanisani akachelewa dada 1 ile anaenda kukaa viti vya mbele sinikamuona nilimpenda lakini nikajizuia misa ikaisha.

Kama kawaida nikaenda kuomba hadi jpil iliofuata sikumuona ye alienda misa ya 2 mi niakaenda ya 1 tukapishana nikendelea kuomba wiki iliofuata nikamwona ibada ilivyotoka nikamfuata japo sina uzoefu sana wa kuongea na wadada lakini nikijikaza nilitembea nae kama km1 nikiomba mawasiliano alivyokaribia kwao akachukua namba yangu,nikasubiria anibeep tu huku naendelea kuomba nakufunga nikubaliwe tu niondokane nahaya mateso.

Wiki 2 hakuna cha kubipiwa wala nn!nikapata wazo ni mundikie barua,niliindika hio barua toka saa 7 usiku mpaka 11 asubuhi nilijieleza kinagaubaga na maangiko mengi tu nilitumia nikamuekea 10000 ndani ya usumbufu jpli ikafika nikampa akapokea, nilifurahi mno nilijiona nimeutua mzigo uliokua umenielemea sana,basi jioni ya ju3 ikaja sms "kama unanipenda twende kwa wazazi wangu".

Nilimshukuru Mungu mno lakini nilipoijibu hakujibu,mpaka alhamisi yake akanisalimia kwa salam ya kanisni kwetu tukaanza kuchati wee ila ni salam salam tuu nikamkumbushia akaniambia ngojea atafakari.nkiwa kimya mpaka jpl akaninisms njoo uichukue barua yako ulio nipa sikuenda nikamwambia aichane tuu lkn akataa nikaja mpigia siku nyingine nilimbembeza hadi mchozi alikataa katakata hawezi kuolewa siivi anawahangaikia wazazi wake na wadogo zake kwanza wasije kufanya kazi kwa watu kama yeye.

Kila nilivyo msihi karibun saa 2 alikataa katakata sms zote nimemtumia hata 1 hakujibu kama kuumia nimeumia kwa kweli sijui ni kwa sababu gani wadada hawanipendi mwaka wa3 sasa toka nilipo achwa sijawaikuambiwa nakupenda wala moyo wangu haujapendwa! Daaaah jamani pesa sina swaga za vijana sinazo jumlishia na upole na ukimya wangu huku kutaka kuoa huku kama si Rehema za Mungu nimesha kwama.

Mungu abarikie jamani kuoa jamani kusikieni tuu.

Slow down brother,

Nataka nikushauri vizuri sana nifate pm, and your task will be resolved and sweet memories will fly around you
 
Hahahahaha uombacho hukijui wala ukijuacho si hicho ukiombacho.

1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu

Sidhani kana sijui nikiombacho,lakini hata hivyo kutokujua kunakupelekea kujua na ndio maana elimu haina mwisho
 
pole sana mkuu ila wanawake wapo wengi sana utampata tu akupendae usikate tamaa

Shukrani nyingi mkuu kwa kunipa moyo,kiukweli wapo wengi mno lakini si kwaajili yangu pengine ndio maana nabakiwaga na maumivu tuu
 
Back
Top Bottom