happygal
Member
- Oct 18, 2014
- 23
- 3
Habarini za muda huu wadau,
Kuna rafiki yangu anaboyfriend wake wamekaa kwenye mahusiano kwa miezi kama mitano wakiwa mbali yani mikoa tofauti kwahiyo ulipatikana upenyo wa wao wawili kukutana na walikuwa hawajawahi kufanya mapenzi na yule binti alikuwa bikra na siku waliyokutana kimwili yule msichana alipata ujauzito.
Na baada ya kumwambia jamaa kuwa mjamzito yule jamaa ana mwambia atoe hiyo mimba kwa madai kuwa bado hawaja juana vizuri na kudai kuwa ana mpenda sana na anataka aje kuwa mke wake.
Huyo jamaa kweli anania nzuri na huyo binti?