Msaada wakuu: Watoto wawili mapacha lakini mmoja baba kamkataa

Msaada wakuu: Watoto wawili mapacha lakini mmoja baba kamkataa

silent lion

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,637
Reaction score
2,404
Eti Jamani inawezekana hii? Mama kazaa watoto wawili mapacha, muda mmoja , saa moja, hospitali moja na mganga alomuhudumia ni mmoja. lakini baba mtu kamkataa mtoto mmoja anasema si mwanawe eti anasema Mama alichepuka.

Lakini cha kushangaza kwa nini baba hakatai watoto wote wawili? Yeye kashikilia mmoja tu ndo halali. Jee inawezekana? Hebu tusaidiane wakuu
 
Jaji mstaafu anawwza kuwa na maelezo ya kutusaidia katika hili
 
ila yawezekana baba mmoja mtaani kwetu alimkataaga pacha mmoja kisa hafanani naye , mama wawatu alikuwa anamhudumia mwenyewe, majaribu hayakuisha mtoto alivyokuwa na miaka 5 akafariki yaan wanawake mungu awafanyie wepesi tu
 
yap inawezekana niliwahi.soma tukio kama hili lilitokea uingereza mapacha wa 2 ila kila mmoja ana baba yake.
 
Hapo itabidi mama ampeleke huyo mtoto mwingine kwa baba'ke
Huwa inatokea twins kuwa wa baba tofauti ila ni kwa nadra sama
 
Huyo mzee nae jamani hajui kitanda hakizai haramu,huyo mke as long as yuko kwenye ndoa basi ni wakwake,na hujui mtoto gani atakufaa duniani yeye alee tuu wanani asiulize,chamsingi kama anawasiwasi na mkewe amulize achie mungu atamuonyesha ipo siku....
 
Eti Jamani inawezekana hii? Mama kazaa watoto wawili mapacha, muda mmoja , saa moja, hospitali moja na mganga alomuhudumia ni mmoja. lakini baba mtu kamkataa mtoto mmoja anasema si mwanawe eti anasema Mama alichepuka.

Lakini cha kushangaza kwa nini baba hakatai watoto wote wawili? Yeye kashikilia mmoja tu ndo halali. Jee inawezekana? Hebu tusaidiane wakuu

Inawezekana mapacha wakawa baba tofauti, hasa wale mapacha wasiofanana yaani wa mifuko tofauti. Imethibitishwa na madaktari huko majuu
 
Yaani mi kwa jinsi nlivyo na shida ya mtoto nikipata hata wa kubambikiziwa namchukua
 
Inawezekana Kwa ZEC NA NEC ,,,, hii nchi ya kihuni sana !!! Yaani tupo Kama mifugo ya ccm!!!!
 
Serikali ya awamu ya tano iweke kipaumbele cha kwanza elimu,cha pili elimu,cha tatu elimu.
 
Back
Top Bottom