Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi karibuni nimepata msichana Mpya baada ya yule Wa kwanza kunisumbua kwa kupenda pesa kuliko maelezo na ukatokea ugomvi mwisho tukashindwana Sasa nikapata msichana Mpya, tumetoka outing Mara...
9 Reactions
120 Replies
13K Views
MUHTASARI WA HABARI: Mke anainuka kutoka kitini: "Puuuuuuu (ngumi ya kichwa kwa mumewe)! Unakwenda wapi wewe malaya mkubwa! Abiria: Weweeeeee! Usimuue mumewe! Mume: Mimi nasafiri kwenda kikazi...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Hasara na faida za kukaa kimya. Ndugu wanajamvi habari za wakati? Poleni na hongereni kwa pilika pilika za uchaguzi mkuu uliofanyika octoba 25 na 26. Pongezi nazitoa kwako Mtanzania mwenzangu...
5 Reactions
26 Replies
24K Views
hi wanajf naitwa richard najitokeza kwenu nikitafuta mwanamke mwenye upendo wa kweli umri wangu ni miaka 25 naishi dar kwa aliyetayari tuwasiliane 0657-651602.
0 Reactions
0 Replies
929 Views
hi mambo kwa jina naitwa swabrina an 20 yrs old. napenda kuwa shukuru watu wote humu jamii forum. kikubwa ni kwamba natafut marafiki wa kuchat nao sijali.wa kike am wa kiume. km utakuwa mmoj...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za uchaguzi wakuu,Poleni na heka heka. Mim ni binti wa miaka24 naishi na mwenzagu hatujazaa bado, tabia ya mwenzagu inanikera kwakeli anatabia ya kurudi usiku sana sa 10 mpk 11 siku...
1 Reactions
73 Replies
12K Views
Jamani eee!!, Nimefikiria sana kwa undani nimeona nije humu jamvini kutangaza kwamba sasa natafuta Mchumba ili aje awe mke wangu mungu akipenda, maana maisha ya ukapera na ubachela yamenichosha...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Habarini wakuu, Nimekuwa nikikutana na baadhi ya watoto wenye umri mdogo kuanzia darasa la 1 hadi la 2 hapa jijini Dar es salaamna maeneo tofauti tofauti, wakiwa maeneo ya vituo vya kupanda...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu naamini humu ndani kuna watu wenye ujuzi tofautitofauti. Leo katika mishe zangu nimesikia kua kuna dawa ya kuweza kumtibu mtu aloathirika na punyeto ya muda mrefu nakusababisha nguvu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mm ni kijana mwenye kujitambua na nina akili timamu sijakurupuka kuandika tangazo hili. Ki ukweli natafuta mchumba jinsia ya kike ambaye ana umri kuanzia 20-28 mwenye nia ya kuanzisha mahusiano...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Habari zenu wapendwa wangu Niliwamisije yaani niliwamiss sana tena sana. Leo nawaletea somo maridhawa la kuhusu NDOA, . Mwanzilishi wa ndoa ni Mungu pekee ndiye aliyepanga pawepo na watu wawili...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Ni baada ya kuhisi kuwa mke wangu anamtamani mume wake ndipo Jana nimekutana nae dukani kwa mangi akaniambia.Mkeo na mume wangu naskia wana mahusiano.kama vipi na sisi tulipize kwa kugegedana.Kama...
5 Reactions
46 Replies
14K Views
Baada ya chakula cha usiku, nilinyanyuka mezani na kuelekeachumbani nikiwa na glass ya maji mkononi. Siku hiyo nilikuwa na uchovu sana baadaya kudrive more than 900km for 11 hours. Niliingia...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
ZA JIONI WADAU. NAJUA KUA WANAUME WENGI SIKU IZI HAWATAKI WANAWAKE BIKIRA, KWAIYO HII NI KWA WALE TU WANAOHITAJI MKE BIKIRA. Sifa zangu, miaka 27, nina kazi inayoniingizia kipato, mkristo...
3 Reactions
70 Replies
19K Views
Kwanini mara nyingi watu kwenye mahusiano wanakuwa wasafi pale wanapokutana kimwili na hunyoa mpaka mwenzio anaona kabisa wembe nusu ukukate. Jamani hio tabia siyo nzuri utapewa surpraiz na...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
By Jon Helmkamp Fathers, be present. Your daughter needs you more than you could ever imagine. Be there for her. Love her. Care for her. Protect her. Last week, something happened that made my...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau na wakuu wote hapa Jf amani iwe kwenu, nimekaa pembeni kwa muda mrefu kidogo kutokana na kuwa bize kwenye kipindi hiki cha kampeni lakini nimekuja hapa kwa dharula tu. Nimekuwa mmoja wa...
1 Reactions
140 Replies
14K Views
Mzee mmoja jirani yangu alinisumbua kwa muda mrefu nimsaidie kumtafuta mwanawe wa kiume aliyeaga mwaka 2000 kwamba anakwenda kutafuta maisha Mererani, Simanjiro.Baada ya kijana huyo kuondoka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi ushajikutaga una wasichana wawili ambao mmoja ni mkaliii shape kubwa toto refu. Mguu wa bia,namba 8 flani ivi ila ni mkorofi haambiliki akikukosea aombi msamaha ila unabaki naye kwa vile...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Poleni sana na miangaiko ya kufunga kampeni, asanteni kwa wale waliojiandaa kufanya ukataji Kesho mapema. WAnajukwaa mie ni kijana wa kiume miaka 28, kulitokea kutoelewana na mchumba wangu mwaka...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom