Siku ya kwanza ya ndoa

Siku ya kwanza ya ndoa

Bukwabi

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
3,352
Reaction score
1,155
Siku ya kwanza nilipooa nilijisikia raha sana. Nilipokwenda honeymoon sikutaka kumwachia kabisa my honey, nilikuwa nataka kila muda tu tugegedane! Mpaka leo miaka kadhaa ya ndoa hamu haijapungua!

Wewe je toa uzoefu wako!
 
Hakuna kama Honeymoon days,baada ya kua Mama na baba tena majukumu mengi na kuna time inafika mnabaki kukumbuka na nakucheka mnasema those were the days lol.....
 
umempigia kura lowassa au ?
 
Tuliyasema kuna maisha baada ya uchaguzi sasa hata jua alijazama mambo yanaanza kuwa mambo,
Hongera mleta mada ila mimi nimeongeza mke mwengine baada ya kampeni kuisha..
 
Mkisha gegedana Mnaweza kuwa na watoto, kama hamjampigia Lowassa imekula kwenu
 
Usisahau hata km muda umeenda Nenda kamchague kiongozi makini.
 
Hahahahaaa Niko Monduli kituo cha Ngutoto na ndiko Rais wetu pia atapigia kura nasi tuko mbele yake na nyuma yake kuumunga mikono,miguu na kila kitu... Atusikilizi fitina sisi ni Lowassa tu.
 
Nimetoka kupiga kura dodoma. Miaka hii wapo wachache sana watu kama ww, siku hizi ni vituko tu! Ndani ya mwaka mmoja weng wanakuwa wameishachokana tena maisha yao yamekuwa magumu
 
Khaa!! Ni siku ya furaha ya mwanamke kwani anakuwa amempata mtu ambaye atamsaidia katika maisha yake. Ni siku ya fikra nzito kwa mwanaume kwani anakuwa anaanza maisha mapya ambayo yeye ndiyo kiongozi, hivyo kama yakienda vibaya yeye ndiyo anabeba lawama zote. Huu ndiyo ukweli 😎
 
Sioni kipya baada ya siku ya kufunga ndoa.

Kama mmeweza kuishi vyema kama wachumba.

Hapo ni sawa na kuendeleza yale mliyoanza kuyaishi.
 
Siku ya kwanza nilipooa nilijisikia raha sana. Nilipokwenda honeymoon sikutaka kumwachia kabisa my honey, nilikuwa nataka kila muda tu tugegedane! Mpaka leo miaka kadhaa ya ndoa hamu haijapungua!
Wewe je toa uzoefu wako!

mna watoto wangapi??
 
Tuliyasema kuna maisha baada ya uchaguzi sasa hata jua alijazama mambo yanaanza kuwa mambo,
Hongera mleta mada ila mimi nimeongeza mke mwengine baada ya kampeni kuisha..

Ha ha ha, utakuwa una nguvu za kutosha!
 
Aya endeleeni kugegedana maana hata mkizaa watoto 100 elimu ni bure..ww ni kutafuta hela ya ugali tu
 
Back
Top Bottom