Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wakuu, Ushauri wenu ni muhimu kwangu. Huyu binti tulipendana sana kipindi cha nyuma mpaka kuwekeana promice za kuoana lakini cha kushangaza alianza kukata mawasiliano na mimi nami...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Bwana Yesu asifiwe! Vijana wenzangu mliopo kwenye mahsiano hasa yale mahusiano bubu(gf &bf), au yale ya mtandaoni tu, kuna gharama zisizo na ulazima, unakuta gf wako anamilik simu...
0 Reactions
91 Replies
12K Views
Natamani nyakati zirudi nyuma. Turudi kule tulikotoka, turudi enzi za ujima! Turudi enzi za 1947. Globalization imenichosha, imenikinai bora turudi enzi zetu nafsi yangu itulie.Kwa takribani miezi...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari, Niliachana na mchumba wangu miaka miwili iliyopita, ila kila nikimkumbuka namuonea huruma sana, naambiwa anateseka sana but kila nikitaka kumrudia ndugu wanakataa na marafiki kwa tabia...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau, Huwa natafakali sielewi hasa msichana anapomwambia mvulana huna thamani yakuwa na mimi ivi thamani ya mtu iko wapi? Ipo kwenye kazi, elimu, pesa, muonekano wa mtu, ila mbona kuna watu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
You want your relationship to last longer? follow these 2 rules: 1. Do not overwhelm her with sexual requests 2. Let her miss you sometimes Nelson.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ni kwa vijana wote na wanaume wote mlioachwa solemba na wapenzi wenu.njia pekee ya kupunguza maumivu na mawazo ya kuachwa na wapenzi wenu ni kuwa playboy.kuwa classic playboy.hit and run ndio...
1 Reactions
59 Replies
6K Views
She MUST POSSESS the following Qualifications: 1. Not married before, not have kids before. 2. Age...not more than 28 years old. 3. RELIGION - preferably Roman Catholic but also can be either...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina mtoto kana miaka miwili, niliachana na mzazi mwenzangu nikiwa na mimba ya miezi mitano,toka hapo sikuwa katika mahusiano ya kimapenzI,mwanangu amenitimiza miaka miwili ila bado ananyonya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Bwana Yesu asifiwe! Nimeona vyema kuwapa faraja wachumba ambao leo hii wametengana! Yawezekana ndugu yangu umeachwa na mchumba wako, tuliza akili yako ni sawa tu, unaonaje? Je ni bora akuache...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu natumaini hamjambo. Natangaza leo ya kwamba kwa yeyote aliye na ujauzito asioutarajia au kupenda tafadhali asitoe mimba, asubiri mpaka atakapojifungua kisha kama hamtaki mtoto asimtupe...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mim n kijana rijjali Kabisa 22 yrs natafuta mchumba hapa hapa dsm uMiri awe 20-26
0 Reactions
2 Replies
2K Views
UKITAKA UGOMVI NA UJUE KAMA MKEO NIMARIDHIA BASI NI HAPA! MUME: Mke wangu mpenz!...MKE : Abee!! mume wangu mpnz pumzi ya maisha yangu! MUME: Nakupenda sana mke wangu mlezi wa familia yangu! MKE...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Almost 5 years sasa niko kwenye relationship na dada mmoja, sawa kila binadamu ana mapungufu ila kiukweli hakuna kitu sipendi kama mtu kua disorganized hio ni sifa nambari 1 kwangu itayo fanya...
1 Reactions
125 Replies
12K Views
Wadau wana Jf, Nina mdogo wangu wa kike mtoto wa mama wa kambo ni mzuri mno na ananitaka kimapenzi na huwa muda mwingi na baki nae nyumbani na anashinda na kanga moja na kuniletea mitego mingi...
0 Reactions
76 Replies
25K Views
kuwa na mahusiano kimapenzi sio tiketi ya kutaka mwanaume ndio awe anakupatia fedha kwa ajili ya kuendeshea maisha yako. wanawake acheni uvivu wa kufikiri na kurahisisha mambo, jengeni utamaduni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
BORESHA NA RUDISHA NGUVU ZA KIUME NDANI sYA NDOA YAKO URUDISHE FURAHA YA NDOA! Katika tafiti za sasa zinaonesha kuwa tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni la kawaida maana tafiti zinaonesha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Salamu za mchana wanaMMu wote. Mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipanga kuoana mwakani ila kwa sasa sipo nae kutokana na matatizo niliyotokea. Mimi na huyu mwenzangu ni marafiki toka...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
He met her at a party. She was so outstanding, many guys chasing after her, while he was so normal, nobody paid attention to him. At the end of the party, he invited her to have coffee with...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom