Waganga wa Kienyeji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waganga wa Kienyeji

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by funzadume, Jul 26, 2010.

 1. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  Habari wana jamvi, nilikuwa kifungoni nimerudi upya

  Juzi kati nilimpeleka jamaa yangu mmoja nyumbani kwao kabisa alikwenda kuchukua fomu za Ubunge sasa jirani na kwao kuna mganga wa kienyeji maarufu kwa pale nilikuta kina dada wametoka DSM kufuata madawa, wako njema walikuja na gari nzuri tu ila walikuwa pale nasikia kuhusu mambo ya mahusiano na mabwana zao nasikia yule mganga ni kiboko kuna dawa anawapaka mbunyeni mtu aliyemdhamilia akigonga ngozi anapagawa hakohoi na hata kama ana mke hamkumbuki tena na anafanya chochote atakachohamriwa na demu

  wenyeji wanasema kuna kipindi wanajaaga wanawake kibao pale kutoka kona mbalimbali za nchi

  Kumbe uwa tunarogwa si bure kama wengi wanavyofikiria
   
 2. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kumbe ulikuwa hujui!
   
 3. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Yaani hilo neno bado halijapasishwa kuwa neno la kiswahili?
   
 4. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  mie nilijua tunakolea mauno kumbe kuna extra step uwa zinachukuliwa nasikia wengi uwa wanaweka mitishamba kwenye pilau (chakula) kwa kuwa kina makolokolo mengi wanakumiksia humo humo kwa hiyo wanaume wenzangu mkiona mke au nyumba ndogo inakupikia pilau hovyo hovyo uwe makini sana
   
 5. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  mbunye ni neno la kiluguru linamaanisha "kitumbua"
   
 6. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi ukishaoa na unampenda kweli mkeo, nyumba ndogo ya kazi gani? sidhani kama mkeo anaweza kukufanyia huo umafia ikiwa kweli unamjali na kumpenda. Huo umakini labda wawe nao wale wanaume wasoweza kutulia na wake zao lol!:tape:
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Fundameza,

  Kumbe unatokea maeneo ya Moshi?
   
 8. m

  mfwakwa Member

  #8
  Jul 26, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wanaume wanakufa kwa mengi!
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  wanadai ooh sijawahi kula nyoka konokono kumbe washalishwa hata maduduwasha hawa mrudieni bwana yesu muokoke:tape:
   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  mtalishwa mpaka visivyolishwa kwa kuwa hamjui kutulia na wake zenu ..........sijawaonea huruma hata kidogo kwa hili!
   
 11. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  hapana mi ni chinga la masasi vijijini (huko wanakula mpaka kobe)
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Huenda ni matamu hayo makonokono na manyoka na huko mbunyeni hahahahaaa.
   
 13. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  mbona hata mahotelini kuna madawa ya kuvutia wateja watu tunakula mchuzi umepikiwa kwa maji ya maiti
   
 14. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  na mganga 'anawashughulikia ipasavyo' kama moja yasharti la dawa!!!!!
   
 15. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Kuna ukweli hapo mkuu????Mbona sijawahi sikia hilo?
   
 16. PJ

  PJ JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hata wale 17 waliokufa kwa kunywa chang'aa huko kenya juzi ilgundulika kuwa mojawapo ya additives kwenye utengengenezaji wa gongo ni pamoja na chupi za hao akina mama watengenezaji pamoja na ped zilizotumika!!! Take care
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmeongea meeeeeeeengi sana......sasa uyo mganga anapatikana wap?
  nashukuru:doh:
   
 18. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  hiyo nimeisikia nasikia pedi zilizotumika zinavutia sana wateja wa chang'aa hii dunia tunakula vingi ila tu hatujui:twitch:
   
 19. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  yupo tena sio mbali hebu ni-PM nikuelekeze maana ni jimbo la mtu la uchaguzi nisije kumwaga mtama kwenye kuku:smile:
   
 20. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  ndio nakwambia sasa unategemea kusikia wapi? kwenye taarifa ya habari?
   
Loading...