Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wagwaan JF massive? It's Sunday night and here I am sitting at home in front of the boob tube. A couple hours ago I got home from running a few weekend errands. All week long I had planned to...
1 Reactions
82 Replies
9K Views
[SIZE=3]Habari zenu, Nahitaji msichana mwenye VVU umri miaka 25-30 ili awe mke wangu, mimi pia nina VVU, nipo serious jamani.
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Nataraji sna mtakuwa wazima wa afya na hali njema nami nimejitokeza tena kutafuta mwenza wa kike awe muslim.ili inshallah tuanze maisha pamoja kwa uwezo wake manan biidhinlllah taalah inshalaaha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana jukwaa na wakubwa shikamoo kwenu, Ni mtu wangu wa karibu sana ni binti mwenye miaka 26 tatizo lake kuu alipima HIV mwaka 2012 akakuta positive lakini kajitunza hadi leo hii CD4...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Je ukipewa condom ukaambiwa nenda kafanye mapenzi na mtu alie athirika na UKIMWI Utaenda? Ninauliza hivi kwa maana wengi huwa tunatumia condom kwa kuwa tu hatuna uhakika na usalama wa mtu unae...
3 Reactions
141 Replies
19K Views
Miaka kadhaa nyuma iliingia fashion ya wanawake kuvaa skin tight kwa ndani, yaani anaanza kufuli, then hiyo skin tight, then ndipo linakuja gauni au suruali, sizungumzii tight maarufu zinazofika...
1 Reactions
70 Replies
21K Views
Nimeshtuka kugundua kuwa Rafiki ya wakaribu amefunga ndoa na dada poa mmoja tuliekua tumezoea kumnunua kwa nyakati tofauti, huyu jamaa alikua workmate wangu na tulishibana sana, tulipenda sana...
0 Reactions
75 Replies
55K Views
Hua sipendi kuvaa chupi au singlend, mke wangu hana shida nishamueleza kua sioni umuhimu wa kuvaa zaidi ya joto na vipele vilevile joto likizidi uzalishaji wa mbegu huathirika shida inakuja...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni jina la wimbo wa bongo flava ulioimbwa na Baraka na Ruby ukiusikiliza kwa utuvu utaona ni namna gani mapenzi bila pesa yanakuwa magumu.Kijana analilia penzi kwa mpenzi wake ambaye anatoka na...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Ni ajabu sana kwa miaka hii una weza kua na mpenzi, mchumba au mke ambae wote mnakua wababe. Kitu ambacho zaman ilikua tofauti, tuna fahamu fika kuwa mwanamke ameumbwa kuwa mnyenyekevu nahisi...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Kuna rafiki yangu ambae tulikua tumeshibana sana miaka kadhaa iliyopita lakini bahati mbaya urafiki wetu ulitumbukia nyongo na tumechuniana zaidi ya miaka minne Kwa sababu ambazo sijazielewa hadi...
6 Reactions
89 Replies
21K Views
Wadau, Mimi ni kijana tu bado sijaoa, sipendi mwanamke anae niomba hela na niko radhi kuachana nae napenda mwanamke free na independent asie omba omba nimekua nao na nikiona ana omba tu nampiga...
3 Reactions
103 Replies
9K Views
wanajf na watanzania kwa ujumla nawakumbusha kale ka mchezo wa madada zetu wanaojiuza, wanapaka dawa knye maziwa ukinyonya kidogo tu kwisha habari yako atakusasambua kila kitu hadi chupi wanabeba...
0 Reactions
54 Replies
9K Views
Hamjambo wana jg nami nimejitokeza kutafuta mwenza wa kike naomba nisisitize wa kike maana kuna watu sijui hawafaham au hawaelewi atakupigia simu mtu nimeona text ktk jf unatafuta mwenza sawa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana Jf, Wanawake wengi siku hizi wamekua wakitoka nje ya ndoa kwa kisingizio kua waume zao wamekua wakitoka na wanawake wengine.Hii tabia imekithiri sana kwa baadhi ya wanawake wengi...
1 Reactions
113 Replies
12K Views
Naona hawa wazungu wanatuzidi kila sasa mpaka mapenzi! Mtoto wa kizungu ukimwambia i love you atakujibu hapo hapo kama ni yes au no hakuna kusumbuana! Mtoto wa kibongo atakujibu nipe mda(hapa...
0 Reactions
49 Replies
15K Views
Nipo Dar lengo awe ana nipa msukumo wa kusaka chapaa maana nimekua mzembe sana nowdays sina kigezo ili mrad awe na matiti na uke tu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndug zangu nawasalimia, Mwenzenu nimejikuta ghafla nataka kuwa baba makusanya ni kuwa baada ya wife kupata mtoto wa kwabza tulijipa muda angalau dogo afikishe 5yrs ili tuongeze mwingine hivyo...
0 Reactions
111 Replies
13K Views
Habari za mchana! Mimi ni binti nina miaka 25 nina mwenzangu ambaye sina mda mrefu nae, tuna kama miezi mitatu kwenye mahusiano yetu na nimetokea kumpenda ghafla. Kinachonishangaza mwenzangu...
0 Reactions
220 Replies
21K Views
Wana jamvi salaam zenu, Nina mchumba wangu ambae mwishoni mwa mwezi huu tutafunga ndoa mipango inaendelea kufanyika. Uchumba wetu umekutana na vikwazo vingi, eti kwa kuwa Mimi nina miaka 34 na...
0 Reactions
57 Replies
8K Views
Back
Top Bottom