Waafrika kabla ya ujio wa wageni waliishije?

Waafrika kabla ya ujio wa wageni waliishije?

housegirl

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
3,125
Reaction score
2,194
Life ilikuwa inaboa sana, and meaningless.

Jumapili na ijumaa walikuwa wanaenda kukutana na kuabudu wapi?

Weekends walikuwa wanaenda kuona band ya mziki wa wasanii gani? Walienda window shopping wapi?
museum je? Driving? Flying? Maonyesho ya culture, fashion na sarakasi? Walikuwa hawaboreki na ngoma za kijiji Chao kila siku?

Wakiboreka, wangewezaje kushinda jamiiforums ?

Walikuwa wanasoma vitabu gani?

Walikuwa wanaongea vipi na watu maelfu ya kilometres mbali? Yani unaona watu hao hao kila siku.

Hata walikuwa wanafikiria nini? Hamna shule. Hawakuwa na stress za capitalism.

Bora siku hizi mmefundishwa mjifunike na kutamani ni dhambi. Wao walikuwa Uchi na mke unapewa ukiwa mdogo mno. Wana shida gani?

Mbali na kuamka kwenda kulima/kuwinda/kufuga kurudi kula then jioni kunywa pombe na kuvuta, walikuwa na nini cha kufanya?

Labda shughuli zilikuwepo mtu akioa, mtoto akizaliwa, misiba na matambiko. Nini kingine? Duh.
 
Wazungu wameharibu sana historia zetu na kutufanya tuamini wao walikuwa superior Sana'a
 
Wazungu wameharibu sana historia zetu na kutufanya tuamini wao walikuwa superior Sana'a

We mmatumbi mzungu kakuharibia nini? Haha. Hapa East Africa wazee wetu walifanya nini? Zaidi ya kutengeneza pots na kusuka ukili.... Na ngoma.
 
We mmatumbi mzungu kakuharibia nini? Haha. Hapa East Africa wazee wetu walifanya nini? Zaidi ya kutengeneza pots na kusuka ukili.... Na ngoma.

Ndio hicho tu ulichokaririshwa?, hao wazee walikuwa hawaumwi?, walikuwa wanatibiwaje?, hivi unafahamu process ya kutengeneza pombe? Hao wazee wako walifundishwa na nani kutengeneza aina tofauti za pombe? Hivi usiku walikuwa wanaonana vipi?, wazungu ndio waliowafundisha kutumia moto?
 
Amna mtu aliyeandika historia yetuu ndomana

Nani aandike wakati tulikuwa hatujui kuandika na kusoma?

Hujawahi kusoma jinsi machifu wetu walivyokuwa wanaingizwa mkenge na wazungu kwenye mikataba?
 
Kila jamii kutokana na mazingira yake mwanaume ilikuwa na mifumo ya utawala na ukumbuke civilisation ilianzia Egypt na ilikuwa mda sana kabla ya hata ao wazungu kingdoms kubwa zilikuwepo Africa ,history yetu imebadilishwa
 
Ndio hicho tu ulichokaririshwa?, hao wazee walikuwa hawaumwi?, walikuwa wanatibiwaje?, hivi unafahamu process ya kutengeneza pombe? Hao wazee wako walifundishwa na nani kutengeneza aina tofauti za pombe? Hivi usiku walikuwa wanaonana vipi?, wazungu ndio waliowafundisha kutumia moto?

Wacha weee...kwahiyo we pombe ndo umeona kitu cha maana sanaaaaa....
 
Sijakaririshwa. I can't know everything. We tiririka.

Nimefikiria tiba za asili. Ni magonjwa gani hasa waliyoweza kutibu? Manake siku hizi hadi dawa tuletewe... Ingawa inasemekana wazungu wanaendaga vijijini kufundishwa na wenyeji halafu they take all the credit. Ni kweli au kujifariji.

Pombe nimetaja. Lakini toka wazungu wawaletee pombe zao zenu mmeacha.

Najua Moto umejulikana zamani kabla binadamu kutoka Africa.
 
Nani aandike wakati tulikuwa hatujui kuandika na kusoma?

Hujawahi kusoma jinsi machifu wetu walivyokuwa wanaingizwa mkenge na wazungu kwenye mikataba?

Whenever they talk of "intelligent" Africa they talk of Egypt tu. Huku chini kote hamna kitu.
 
Wacha weee...kwahiyo we pombe ndo umeona kitu cha maana sanaaaaa....

Pombe muhimu mkuu. We hunywi nini?

Bora tungesifika kutengeneza pombe bora duniani. Lakini toka tuletewe grants hamna anayetaka chibuku. Kwanza wanaokunywa pombe za asili ni kwasababu hawana hela tu, au sio?
 
Why Chinese?

Utamaduni wao haujapotea, hawaamini hata katika dini hizi tulizoletewa......
If I'm not mistaken basi wachache sana walioanza kufuata dini it was miaka ya 1970s hivi

Wengi walikua wanafuata tu ujamaa na kudumisha mila zao. And their life is not boring
 
inaonekana shule ya msingi na o level ulikuwa mtoro. hayo maswali yako yalijibiwa huko enzi hizo. mwalimu alisumbuliwa kuulizwa maswali hayo yote.

kasome things fall apart, utapata kianzio
 
Kila jamii kutokana na mazingira yake mwanaume ilikuwa na mifumo ya utawala na ukumbuke civilisation ilianzia Egypt na ilikuwa mda sana kabla ya hata ao wazungu kingdoms kubwa zilikuwepo Africa ,history yetu imebadilishwa

Hapa itabidi tuanze kubishana kama Wamisri waliogundua hizo civilizations walikuwa weusi.
Kisomo changu kidogo hakijaniridhisha kuwa walikuwa WaAfrika. Especially kwasababu zamani waliona Misri ni sehemu ya Asia.

Hata hivyo, kama elimu zote hizo mlikuwa nazo zingepoteaje Africa nzima hadi mje mfundishwe upya?

Mbona haikutusaidia kuvumbua chochote?
 
Mimi nikisikia Egypt wala huwa sifikirii Afrika.

Huwa nafikiria mashariki ya kati na Waarabu.
Exactly. Au wavumbuzi walikuwa machotara. Coz ancient sculptures za weusi zipo. But by the time things got interesting, the sculptures weren't pure black any more
 
Utamaduni wao haujapotea, hawaamini hata katika dini hizi tulizoletewa......
If I'm not mistaken basi wachache sana walioanza kufuata dini it was miaka ya 1970s hivi

Wengi walikua wanafuata tu ujamaa na kudumisha mila zao. And their life is not boring

Kweli unafananisha China ya zamani na Africa ya zamani? All those buildings. The tombs. The colorful clothes. Maandishi. Sisi je?
 
inaonekana shule ya msingi na o level ulikuwa mtoro. hayo maswali yako yalijibiwa huko enzi hizo. mwalimu alisumbuliwa kuulizwa maswali hayo yote.

kasome things fall apart, utapata kianzio

Sir, wakati mwalimu wa history anapiga porojo me nlikuwa namalizia homework ya physics.

Nikisema niongeze list ya vitabu vya kusoma nitajitanganya. I've a lot on my to read list.

Naomba summary.
 
Back
Top Bottom