utakuwa hujitambui
Kujitambua ni kujua nini unachokitaka, katika mda gani, jinsi ya kukipata bila kusababisha madhara kwa wengine na mwisho utakifanyia nini ili kilete tija kwako au mahala unapotegemea kukitumia. Pia kujua wale waliokuzunguka ukae nao vipi, wanahitaji nini toka kwako na unawezaje kuwasaidia katika mambo yao. #MtazamoWangu
Kujitambua ni kitu kipaana sana
wengine humaanisha na 'kujithamini'
na wengine humaanisha vitu vingine
kuna idai kubwa tu hutumia hilo neno 'kujitambua'
kama njia ya kushawishi watu mitazamo yao
Naona tunamtadhamo tofauti kujitathmini na kujitambua ni vitu 2 tofauti. Mfano umelewa kupita kiasi, ukarudi kwako na kufanya haja kwenye mlango wako, asubuhi ukaamka umelala chini, hapo utakuwa ulilewa jana na kufanya mambo bila ya kujitambua yaani bila kujua nini unafanya.
Kujitathmini ni kukaa na kufikiria kitu au wewe mwenyewe, huku ukiwaza na kupata majibu yako sahihi or wrong.
Sasa rukirudi kwenye mada hao kina dada wanajitambua na maana ya kwamba wanajua nini wanafanya. Or hawajitambui yamaana kwamba hawajui nini wanafanya hasa pale wanapo waona masharo baro kama mleta mada,  kidding
Naona tunamtadhamo tofauti kujitathmini na kujitambua ni vitu 2 tofauti. Mfano umelewa kupita kiasi, ukarudi kwako na kufanya haja kwenye mlango wako, asubuhi ukaamka umelala chini, hapo utakuwa ulilewa jana na kufanya mambo bila ya kujitambua yaani bila kujua nini unafanya.
Kujitathmini ni kukaa na kufikiria kitu au wewe mwenyewe, huku ukiwaza na kupata majibu yako sahihi or wrong.
Sasa rukirudi kwenye mada hao kina dada wanajitambua na maana ya kwamba wanajua nini wanafanya. Or hawajitambui yamaana kwamba hawajui nini wanafanya hasa pale wanapo waona masharo baro kama mleta mada,