Msaada juu ya mtoto huyu sijapakaziwa?

Msaada juu ya mtoto huyu sijapakaziwa?

Alkelokas

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
203
Reaction score
104
Habarini wana JF,

Kuna binti nliwahi kuwa nae katika mahusiano kwa takribani mwezi mmoja, ilikuwa ni mwezi wa 3 mwaka huu. hata hivyo niliondoka eneo hilo na kwenda kimasomo na wakati nipo masomoni, hatukuwa na mawasiliano mazuri kutokana na kiburi chake, japo Kuna wakati tulijuliana hali, chakushangaza mwezi wa 7 ndo akaanza kunambia ana mimba angu,kiukweli nilimpinga vikali kwan hakuwahi kunambia hata siku moja kwa muda wote huo, ambapo niliwahi kulala nae mara 3 kweli ndani ya mwezi wa 3.

Baada ya kuona ameniganda sana na anatishia kujiua endapo nakataa,nikaamua nimwambie nitaporudi likizo anipe kadi ya kliniki nione, kweli ilionesha angejifungua tarehe 14/12/2015 kwa walivomkadiria, binafsi nililala nae tarehe 6,15,22 mwez wa 3. Sasa yeye kajifungua juzi tarehe 3 mwez wa 12, ambapo kama mimba alishika siku ya kwanza, basi ni siku 3 zmefeli kutimia miezi 9. je ni sawa ama napakaziwa, ukizngatia kajifungua sipo huko aliko na mtoto sijamwona bado licha ya kutuma mahitaji kwa huyu binti, ila najikuta nawaza isije ikawa natumika!ushauri jamani kwa wazoefu wa haya mambo.
 
Mke wangu wangu amebeba mimba mwezi wa nne mwaka huu lakini jana kajifungua mtoto mzima kabisa tena ana afya nzuri tu hivyo yote yanawezekana.
 
Habarini wana JF,Kuna binti nliwahi kuwa nae katika mahusiano kwa takribani mwezi mmoja,ilikuwa ni mwezi wa 3 mwaka huu. hata hivyo niliondoka eneo hilo na kwenda kimasomo na wakati nipo masomoni,hatukuwa na mawasiliano mazuri kutokana na kiburi chake, japo Kuna wakati tulijuliana hali,chakushangaza mwezi wa 7 ndo akaanza kunambia ana mimba angu,kiukweli nilimpinga vikali kwan hakuwahi kunambia hata siku moja kwa muda wote huo,ambapo niliwahi kulala nae mara 3 kweli ndani ya mwezi wa 3.baada ya kuona ameniganda sana na anatishia kujiua endapo nakataa,nikaamua nimwambie nitaporudi likizo anipe kadi ya kliniki nione, kweli ilionesha angejifungua tarehe 14/12/2015 kwa walivomkadiria,binafsi nililala nae tarehe 6,15,22 mwez wa 3
Sasa yeye kajifungua juzi tarehe 3 mwez wa 12,ambapo kama mimba alishika siku ya kwanza,basi ni siku 3 zmefeli kutimia miezi 9.je ni sawa ama napakaziwa,ukizngatia kajifungua sipo huko aliko na mtoto sijamwona bado licha ya kutuma mahitaji kwa huyu binti, ila najikuta nawaza isije ikawa natumika!ushauri jamani kwa wazoefu wa haya mambo.

Acha woga na wasiwasi, mwanamke anaweza jifungua week mbili kabla au week mbili baada ya tarehe aliyoandikiwa au siku kadhaa kabla au baada ya hiyo siku au akajifungua miezi saba(njiti). Jiandae kulea huyo ni mtoto wako wala usiogope sana
 
Muhimu ni siku ya kwanza ya hedhi yake ya mwisho kabla kujua ana mimba ndipo wiki au siku zinaanza kuhesabika hapo.
 
mtoto wako uyo mkuu io nane hesabu 14 unapata 22 ambapo ulimgegeda unakimbia nini sasa??? lea tu hamna jinsi....
 
Kwa tarehe hizo mtoto ni wako

Shida itakuja kama alilala na mwanaume mwingine hapo ni uende kupima DNA ili roho yako itulie
 
Habarini wana JF,Kuna binti nliwahi kuwa nae katika mahusiano kwa takribani mwezi mmoja,ilikuwa ni mwezi wa 3 mwaka huu. hata hivyo niliondoka eneo hilo na kwenda kimasomo na wakati nipo masomoni,hatukuwa na mawasiliano mazuri kutokana na kiburi chake, japo Kuna wakati tulijuliana hali,chakushangaza mwezi wa 7 ndo akaanza kunambia ana mimba angu,kiukweli nilimpinga vikali kwan hakuwahi kunambia hata siku moja kwa muda wote huo,ambapo niliwahi kulala nae mara 3 kweli ndani ya mwezi wa 3.baada ya kuona ameniganda sana na anatishia kujiua endapo nakataa,nikaamua nimwambie nitaporudi likizo anipe kadi ya kliniki nione, kweli ilionesha angejifungua tarehe 14/12/2015 kwa walivomkadiria,binafsi nililala nae tarehe 6,15,22 mwez wa 3
Sasa yeye kajifungua juzi tarehe 3 mwez wa 12,ambapo kama mimba alishika siku ya kwanza,basi ni siku 3 zmefeli kutimia miezi 9.je ni sawa ama napakaziwa,ukizngatia kajifungua sipo huko aliko na mtoto sijamwona bado licha ya kutuma mahitaji kwa huyu binti, ila najikuta nawaza isije ikawa natumika!ushauri jamani kwa wazoefu wa haya mambo.

Wako huyo kaka. Kwa hesabu za kawaida mimba ilitungwa tarehe 22, kama aliingia mwezini mara ya mwisho tarehe 8. Tarehe ya makadirio kajifungua 15/12/15. Trust me, huyo anakuhusu. Uwe baba mwema, hongera
 
Mke wangu niliishi naye chini ya paa moja tulikuja gundua mimba miezi mitatu kuelekea minne...inamana ningekuwa mbali nisingemuelewa ningemuuliza inawezekanaje siku zote hizo hukujua...na kuhusu tarehe aliyoandikiwa kujifungua alijifungua badae sana baada ya hiyo tarehe....maelezo yako yanaonesha huyo ni mwanao,lea tu
 
Kwa tarehe hizo mtoto ni wako

Shida itakuja kama alilala na mwanaume mwingine hapo ni uende kupima DNA ili roho yako itulie

DNA wap? Mtu mwenyewe mwanafunzi team loan board dna laki 5 ataweza? Alee tu maana inaonesha mtoto ni wake bila chenga.
 
Tarehe aloenda alidai tarehe 8

tuhesabu kama aliingia bleed tareh 8,9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 28 25 26 28 29 29 30 HAYA trh 17 alimaliza safe days zikiwemo na 5 za bleed. Wewe ukalala nae tena peku trh 22 siku ya 15 ambapo ni hatari tena siku ya mtoto wa kike. Kuanzia trh 18- 28 ndo siku hatari kalee dogo.

NB. kwa wasiojua hii karenda. Ukiingia siku zako thr 1hesabu siku 5 za hedhi. 6-10 ngonoka uwezavyo siku ya 11-17 usingoneke. Kwa usalama zaidi siku ya 20 cheza mara nyingi uwezavyo mpaka siku ya kuingia hedhi tena. Hivi kweli hii ni ngumu? Hamuoni aibu na mimba za ajabu? Lakini ya yote mbona kondomu aina sheeda? Mbana wengine hazituumizi? Utaanza tumwamini mtu unalala kavu? Au ndo yale ya kutegeshea mimba??
 
Back
Top Bottom