Mambo ya Pwani yananichanganya

Mambo ya Pwani yananichanganya

kijana mkimya

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
277
Reaction score
121
Mambo ya pwani guu la kushoto lavishwa cheni, dume zima shanga kiunoni
urembo gani? we rijali Vyanini vidani
bora cheni matobo mpaka puani, au we mambo swafi hatuelezani
vijana mnapenda sukari hampendi subiri, mna haraka hamtaki subiri
mkipewa halwa mnataka na tende, hamuelewi kama pwani kuna mamende
mawazo chooni aaah watu wa pwani bwana jioni vibarazani, wameketi jamvini
ukitaka gahwa utapata, hutaki japo kashata, njoo ucheze michezo iko mingi
kuna bao karata, kama unataka kudance kuna kibao kata, ili mradi raha zote utapata
muziki wa pwani bwana mduara, cheki midume ilivyojipara
mauno kama dondora, vidole hewani kama tiara
jana kanywa leo anahara, we choko stiki utakula? ''enhe atakula akishiba atalala''

MAMBO YA PWANI YANANICHANGANYA, VITU FULANI WANAVYOFANYA

Raha ya ubwabwa tandu, raha ya mrembo chachandu
utamu ukizidi sana sema banduuu banduuu
maji ya pwani maji hiriki maji amdalasini
sista duu hataki kanga anataka kimini
mambo ya pwani, vidume nielezeni
ata njaa hiyo njaa gani, mnatafuna mpaka kuku wa dawa
ama kweli wabongo mmepagawa, baaaas kule Mombasa na tanga
ukiwa punga watu wanatwanga, kama ulezi watu wanasaga
ukitaka mke nenda kaoe pwani, sio uzaramuni
kila wiki ngomani, mpiga ngoma akigoma anapewa hata kama anataka nini
maalim sema unataka kazi? kuna kupara samaki na kupara miwa
chochote unachotaka we utanunuliwa, shida zako za nyuma utatatuliwa

AAH MAMBO YA PWANI
 
Sema sasa,
Unataka Tende au Ha'lua?
Maana najua Shubiri si yako Sheikh.:eek2:
 
Daaah nimembetia Manchester city, Real madrid, Juve na Atleticaal Madrid..... sijui ntakulaaa?

Ila nna wacwac sana na Juve
 
daaaaah... solo thaang... mashairi yamenikumbusha enz hizo nipo olevel
 
Mambo ya pwani guu la kushoto lavishwa cheni, dume zima shanga kiunoni
urembo gani? we rijali Vyanini vidani
bora cheni matobo mpaka puani, au we mambo swafi hatuelezani
vijana mnapenda sukari hampendi subiri, mna haraka hamtaki subiri
mkipewa halwa mnataka na tende, hamuelewi kama pwani kuna mamende
mawazo chooni aaah watu wa pwani bwana jioni vibarazani, wameketi jamvini
ukitaka gahwa utapata, hutaki japo kashata, njoo ucheze michezo iko mingi
kuna bao karata, kama unataka kudance kuna kibao kata, ili mradi raha zote utapata
muziki wa pwani bwana mduara, cheki midume ilivyojipara
mauno kama dondora, vidole hewani kama tiara
jana kanywa leo anahara, we choko stiki utakula? ''enhe atakula akishiba atalala''

MAMBO YA PWANI YANANICHANGANYA, VITU FULANI WANAVYOFANYA

Raha ya ubwabwa tandu, raha ya mrembo chachandu
utamu ukizidi sana sema banduuu banduuu
maji ya pwani maji hiriki maji amdalasini
sista duu hataki kanga anataka kimini
mambo ya pwani, vidume nielezeni
ata njaa hiyo njaa gani, mnatafuna mpaka kuku wa dawa
ama kweli wabongo mmepagawa, baaaas kule Mombasa na tanga
ukiwa punga watu wanatwanga, kama ulezi watu wanasaga
ukitaka mke nenda kaoe pwani, sio uzaramuni
kila wiki ngomani, mpiga ngoma akigoma anapewa hata kama anataka nini
maalim sema unataka kazi? kuna kupara samaki na kupara miwa
chochote unachotaka we utanunuliwa, shida zako za nyuma utatatuliwa

AAH MAMBO YA PWANI
eeh bwana kitambo sana old is gold mzee huyo wa vina utata achana nae kabisa naskia yupo mtoni huko anakula bata
 
Duh!enzi za mtoto huyu vipi
Mtoto hashughuliki
Mtoto si rizki.
 
hahaha juve atashinda bob.. was was weka kwa atletco..

Daaah Kubabae Juventus ni timu ya kishoga kweli yan...... Yani mechi zote nne zimeeenda mulemuleee hadi Atletico kamchapa mtu kasoro Juve,

Imenikosesha Mpunga.Yani nilikuwa sina wasiwasi nayo wala nn!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom