Ladies muwe na uvumilivu

Ladies muwe na uvumilivu

Liss Liss

Member
Joined
Nov 20, 2015
Posts
37
Reaction score
2
Hi guys, utajiskiaje umemwacha jamaa mwenye vision but hana mkwanja mambo bado hayajawa sawa halafu unamkubali jamaa ambae yupo fresh yaan ile full tv set ya kisasa, kaz nzuri afuu siku umekaa kwa sebule unamuona yule jaamaa ulie mkataa sababu ya shida zake akihojiwa ktk tv juu ya project flan kubwa na waandish kawekewa mike kibao?,, ladie maisha tuvumiliane life huanzia A - Z
 
kwanza ufaham why wameachana kama ni ishu za tamaa tu hapo haina jinsi lazima udate ila kuna ile mtu haeleweki ndio ana vision poa yuko smart katika kupanga mambo yake tatizo ikawa pesa haeleweki means hana hela na hafanyi michakato ya kuhustle ila akikupa plans unaeza ukaona huyu mbona jamaa jembe sana na ana anachoona ni mambo ya shortcut kama hao wa drugs hata mimi nasepa kimya kimya tu siwez kujiweka rehani ukiwa husomeki maisha yenyewe yako wapi ya kukaa kumsubiri mtu miaka minne ndo mwanze maisha pamoja.
 
Eee Mola utusaidie sana kujiepusha na watu wa jinsia ya kike
(sio wanawake maana mwanamke anavigezo vyake).

Ninakuonea huruma sana kama hicho ulichokiandika umeandika
kwa utashi wako bila ya kushurutishwa.
 
Hi guys, utajiskiaje umemwacha jamaa mwenye vision but hana mkwanja mambo bado hayajawa sawa halafu unamkubali jamaa ambae yupo fresh yaan ile full tv set ya kisasa, kaz nzuri afuu siku umekaa kwa sebule unamuona yule jaamaa ulie mkataa sababu ya shida zake akihojiwa ktk tv juu ya project flan kubwa na waandish kawekewa mike kibao?,, ladie maisha tuvumiliane life huanzia A - Z

hapo kwenye bold ya blue ..hayo ni mawazo ya watoto
wa sekondari tena O-level, ila hapo kwenye red umeongea
kama mtu aliyekomaa kifikra. Hongera sana kwa
ufahamu huo.
 
hapo kwenye bold ya blue ..hayo ni mawzo ya watoto
wa sekondari tena O-level, ila hapo kwenye red umeongea
kama mwanamke aliyekomaa kifikra. Hongera sana kwa
ufahamu huo.

mnyambuaji mzuri sana wewe.
 
Eee Mola utusaidie sana kujiepusha na watu wa jinsia ya kike
(sio wanawake maana mwanamke anavigezo vyake).

Ninakuonea huruma sana kama hicho ulichokiandika umeandika
kwa utashi wako bila ya kushurutishwa.

Umenielewa lakini nachomanisha simanish naweza mfata mwenye pesa unaeza kua na mtu Ana malengo halaf hajishughulish sasa WA nn Kuna wengine wanafuata malengo na had nimeandika hivi nimeona mifano mingi ikiwa imenitokea na kuwatokea hata watu wanguvwa karibu so lazima niwe muoga sasa
 
wanawake wachache wenye fikra hizo. wengi wao hawajiamini mwishowe wanajutia kukurupuka kwao.
 
Hi guys, utajiskiaje umemwacha jamaa mwenye vision but hana mkwanja mambo bado hayajawa sawa halafu unamkubali jamaa ambae yupo fresh yaan ile full tv set ya kisasa, kaz nzuri afuu siku umekaa kwa sebule unamuona yule jaamaa ulie mkataa sababu ya shida zake akihojiwa ktk tv juu ya project flan kubwa na waandish kawekewa mike kibao?,, ladie maisha tuvumiliane life huanzia A - Z
Ataishia kumwona kwenye tv
 
Maisha popote, hata huyu alie nae huenda "mbeleni" akaitwa na Magufuri kwa kazi maalum Ikulu.
 
Umenielewa lakini nachomanisha simanish naweza mfata mwenye pesa unaeza kua na mtu Ana malengo halaf hajishughulish sasa WA nn Kuna wengine wanafuata malengo na had nimeandika hivi nimeona mifano mingi ikiwa imenitokea na kuwatokea hata watu wanguvwa karibu so lazima niwe muoga sasa

sasa kwani hata akijishulisha mafaniko yanakuja tu kesho yake...?
wajua 'life is full of huddles and struggles" sasa usitarajie mambo
mazuri yaje haraka haraka. kuwa mvumilivu utakula mbivu.
 
Unajua elewa natambua maisha Yana mambo mengi Sana na had mtu awe ametulia na kufanya mambo yake akiwa stable bas jua nafaham Sana amepitia magumu mengi mno unaeza ukawa unasema hivo na s mhanga kibaya zaidi mifano ninayo kabisa na elewa kwamba hatufanani kabisaa ninayo mifano mingi mtu alikua na bf wake bf hakua na chochote dada hakua na lolote walipendana mno ILA mwanaume ndo alimlet down mdada alikua mtaftaji mzuri Mara ameshikwa huko nchi za watu Mara hapatikan hewani miez hata sits akiulizwa Hana jibu la kueleweka kibaya zaidi wakat WA matatizo ya bf wake ndugu za mume walikua wakimtenga na kumficha Anafanya kusikia kwa marafiki can u imagine?? Alikua mvumiliv alikua n binti mwenye heshima alimpenda bf wake kwa hali na Mali hakujali anazo au Hana sometimes anagombana na ndugu zake kwa ajili ya huyo bf story nyingi za dizain hii ikafikia point akaona kama yeye anatumia nguvu nyingi kuimarisha mahusiano yake alisubiri almost five years bf yupo nje kwa miaka mitatu akarud tz hakukaa Sana akarudi na ni mwaka WA tank huu na had hivi navokuambia hajulikani kama mzima au amefariki sasa wewe ungeweza kweli kumsubiri mtu ambae Ana plans nzur ilanhaeleweki
 
Tumeshakuelewa pole lakini
 
You!!!! total wrong. accepting a guy na kuvumilia sababu anaweza kufanikiwa ni ubinafsi, na akichelewa kufanikiwa utamwacha, mvumilie mtu siku zote sababu ya Upendo
 
Kwahiyo mabinti sasa wasikubali ndoa mpaka wachumba zao watapoonekana ITV, sio !!??
 
Back
Top Bottom