Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,220
- 1,225
Habari zenu wana JamiiForums,
Leo ngoja niulize kitu kwa miaka ya karibuni kumekuwa na wadada wengi ambao wanazalia nyumbani yaani kwa sasa hivi unaweza ukaona binti mkali ukadhani hajazaa kumbe ana kid wake home na single parent inazidi kushika nafasi hasa kina dada, yaani ndio kusema wengi mnaachwa au ni nini?.
Maana wengi mnaishi kwenu au mmepanga lakini aliyekuzalisha hajulikani na wengi utasikia SITAKI KUSIKIA HABARI ZA MWANAUME hii inaanisha kwamba wanaume wanawazalisha halafu hawana time na nyie au kuna vitu mnavifanya hawavipendi?
Msaada tafadhali