JE KIONGOZI / BOSS WAKO NI BORA?
Ili uweze kuwa kiongozi bora na mwenye mafanikio kuna vitu vinne unavyotakiwa kuwa navyo na uweze kuvisimamia.
Kwa kujua na kusimamia vitu hivi kutakuwezesha...
MATOKEO MAZURI AU MABAYA YANATEGEMEANA NA MSINGI ULIOWEKA
Kama umewahi kuona jengo lolote kubwa, najua ulishaona, ila unapokuta jengo hilo tayari limekamilika, huwezi kujua msingi ni mkubwa kiasi...
Mumeamkaje, mwenzenu nina hali mbaya. Nimenyimwa unyumba mwezi wa pili sasa, chanzo ni ugomvi wa hapa na pale usiohusiana na mapenzi. Tumesuluhishwa na ndugu na marafiki lakini hola!
Sifikirii...
Habari wana jamvi,
Mimi ni kijana wa miaka ishirini na mbili pia ni mwanachuo. Nimeleta uzi huu jamvini kwa lengo la kupata msaada utakao nisaidia kuondokana na maumivu haya.
Kuna binti mmoja...
Wanaume tuna udhaifu sana na maeneo haya ya wanawake; miguu mizuri, mapaja, tukiona chupi, ama wanawake wakikaa vibaya. Hali inakuwa si nzuri maeneo yetu fulani.
Je, Nanyi wanawake mnavutiwa na...
Nahitaji mke mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 33. Awe mkristo, elimu f6 na kuendelea. Awe na mwili wa wastani.
Kama una nia ya dhati ni pm tafadhari tuongee zaidi.
MY FUTURE WIFE
Mke wangu mtarajiwa, najua uko sehemu salama na ukivuta muda na jamaa mwingine kabla hatujaoana. Lakini kabla sijakuweka ndani nionavyo machache ya kukueleza.
1. My future wife...
Ndoa ni mtihani leo nimekutana na ugomvi mkubwa mwanaume analalama mkewe anataka wafanye mapenzi kila siku hata kama jamaa kachoka yeye anataka sex.
Mimi nikaona hili ni tatizo kubwa nikamwuliza...
Wakuu,
Poleni na majukumu pia hongereni kwa kumaliza weekend salama.
Kuna hili swala la haki sawa nimeona linaweza kuwa tatizo kwa wanawake mimi niko Mwanza leo tulikuwa tunapita mahali barabara...
Salaam wakuu.
Nijuavyo mimi watu huingia kwenye mahusiano ya kimapenzi ili kupata faraja, hivyo hutegemea kupata furaha na kuwapa furaha wenza wao. Wengine wamekuwa wakifanikiwa katika hilo na...
Kuna mdada mmoja huku mtaani kwetu amejikuta katika mtihani mzito mpaka kushindwa kuelewa afanye kitu gani, yye ni msichana mwenye umri wa miaka 22 alibahatika kupata mwanaume kipindi akiwa na...
Habari wanajamvi mimi ni msomaji mzuri sana wa Simulizi, nimeona story mbali mbali hapa jamvini na nimeshasoma baadhi ya hizo, kuna story kama mirathi ya kaka na wakili wa moyo zilizoandikwa na...
KUKAA NA KINYONGO NI KUENDELEA KUJITESA TU
Ni kwamba unakosa nafasi ya kufuatilia mambo mengine muhimu kwako.Unaweza kujiaminisha kwamba kinyongo ulichomwekea mtu unastahili kabisa...
1. Wengi wao wanapendwa sana ila si kwa ajili ya kuolewa.
2. Wengi wao wanatumika tu pasipo kutolewa mahari.
3. Na hata pale wanapoolewa basi ndoa hiyo hua na mashaka na wasiwasi mwingi.
Huu ni...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ujue mjini kunatabia za kishamba za kupotezeana mda, mtu unajikuta mnapangwa hata 4...
Habari zenu wana MMU. Natumaini mko poa, na wk-end inakwenda vzr.
Ok. Kuna hii tabia ya watu kuwa kwenye mahusiano kisiri siri, yan wanagegedena kimya kimya!
Vyuoni, Ofisini, Kwenye za kupanga...
Akiwa amepitiwa na usingizi ndani ya nondo za gereza Tarick anasikia nyayo za mtu zikimsogelea Taratibu. Huku akiwa hoi kutokana na uchovu wa kipigo kizito alichopewa na kikosi cha usalama wa...
Wana JF habar zenu.
Naishi na familia yangu,miaka minne iliyopita tulihamia kwenye nyumba yetu hapa Dar.
Jirani yetu alitupokea kwa furaha na kutuambia habar za mtaa mzima,alituambia pia watu...
Mwanamke asipokua makini anaweza kujikuta unatumiwa na wanaume hata 100.
Mwanaume kaumbwa kushawishi. Ni jambo la kawaida kwa mwanaume kutongoza na kuwa hata na wanawake 10. Hata ukitizama...