Hili la haki sawa ni tatizo

Sakayonsa

Member
Dec 30, 2015
99
44
Wakuu,

Poleni na majukumu pia hongereni kwa kumaliza weekend salama.

Kuna hili swala la haki sawa nimeona linaweza kuwa tatizo kwa wanawake mimi niko Mwanza leo tulikuwa tunapita mahali barabara ilikuwa imeharibika sana ikabidi tuamue kuitengeneza japo kesho wenye magari yao wapite.

Ikasemekana wanaume wazoe mawe huwezi amini watu wamekuwa wakali kwamba hakuna wanaume wala wanawake ni haki sawa bila kujali jinsia wanawake wamelalamika bila jibu ikabidi kuzoa wote sasa naona wanaanza kupata majibu yao.
 
Back
Top Bottom