Wanawake wa siku hizi mtaweza hiki kitu kweli?

blotter20

Member
Sep 19, 2014
53
14
MY FUTURE WIFE

Mke wangu mtarajiwa, najua uko sehemu salama na ukivuta muda na jamaa mwingine kabla hatujaoana. Lakini kabla sijakuweka ndani nionavyo machache ya kukueleza.

1. My future wife, Jiandae kuwa mother material wala sio mom material usipaniki!. nitakuelewesha nachomaanisha, mke wangu mpendwa mmeo, ntakuwa father wala sio daddy kwa watoto wetu, usishangae nitawalea watoto wetu katika malezi ya tamaduni za kiafrika zaidi, hivyo kwa hilo ntakuwaconservative. Ningependa kukuona
ukiwa mother wala sio mom ukawalea watoto kwa tamaduni za kigeni.

2. My future wife, nitakuoa kutokana na uzuri wa asili uliojaaliwa na Mungu, hivyo basi usitarajie kupata wasaa wa kujipachika kope na kucha za bandia wala mawigi (nywele za
marehemu).

3. My future wife, huko uliko ni vyema ukaanza kujifunza kuendesha biashara na kusimamia, mmeo siamini katikakuajiriwa Bali kujiajiri.

4. My future wife Siku tutakayokula kiapo kanisani, tutafanywa kuwa mwili mmoja, hivyo bhasi nisingependa tuje kutenganishwa na password kwenye simu zetu (no
passwords).

5. My future wife, madhehebu yote hukiri kuwa MUNGU ni mmoja tu, hivyo bhasi nisingependa kukushuhudia ukihama madhehebu mbalimbali kutafuta ukombozi kwa MUNGU yuleyule.

MY FUTURE WIFE, msalimie sana huyo mnayevuta nae muda kwa kwenda $amaki $amaki, Nyama Choma na Fiesta,mie ntakupeleka kanisani na kukuweka ndani.
 
7.MY FUTURE HUSBAND,tutapokuwa mwili mmoja password zote za ATM kadi,mpesa tigopesa,airtelmoney tutazishare pamoja hatutafichana
 
Akitoka huko $amaki $amaki kala beer za anaevuta nae muda c unajua vile anachofanywa your future wife e '
 
Back
Top Bottom