UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,397
- 1,011
Ndoa ni mtihani leo nimekutana na ugomvi mkubwa mwanaume analalama mkewe anataka wafanye mapenzi kila siku hata kama jamaa kachoka yeye anataka sex.
Mimi nikaona hili ni tatizo kubwa nikamwuliza yule mama wa watoto watatu huwa mkifanya unaridhika akajibu kwa upole naburudika sana na ananifikisha kileleni zaidi ya mara mbili hadi nne nikamwuliza tena huwa unampikiaga nini anataka.
Mavyakula ya ajabu ajabu ambayo hapana hata protein nikamwambie yeye ndo tatizo la maana by the way wanaume hatumudu hilo game kila siku na hata hamu inakuwa hapo nikawasha usafiri wangu nikaondoka.