Nimenyimwa unyumba takribani mwezi wa pili sasa

Emecka

Member
Jul 17, 2012
75
27
Mumeamkaje, mwenzenu nina hali mbaya. Nimenyimwa unyumba mwezi wa pili sasa, chanzo ni ugomvi wa hapa na pale usiohusiana na mapenzi. Tumesuluhishwa na ndugu na marafiki lakini hola!

Sifikirii kuwa msaliti, nafikiria kufanya maamuzi magumu ya kujiunga na chaputa. Msaada jamani
 
Kwanza, pole.

Pili, unataka usaidiweje sasa humu?
 
Polee sana mkuu...Ndoa yenu ina umri gan? je,mmebahatika kupata watoto?
 
Mumeamkaje, mwenzenu nina hali mbaya. Nimenyimwa unyumba mwezi wa pili sasa, chanzo ni ugomvi wa hapa na pale usiohusiana na mapenzi. Tumesuluhishwa na ndugu na marafiki lakini hola!

Sifikirii kuwa msaliti, nafikiria kufanya maamuzi magumu ya kujiunga na chaputa. Msaada jamani

Chaputa ndio nini ?
 
Ndoa inataka uvumilivu, busara na hekima za kiwango cha juu sana...
Si jambo jepesi kuishi na mtu mwenye tabia ,malezi na maoni tofauti.....

Wanandoa wengi wanayaona maisha ya ndoa magumu kwa kuwa hakuna anayependa kujishusha kati yao..kila mmoja anataka awe juu...wanasahau kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja.....
Kuna kipindi katika maisha ya ndoa inabidi ujishushe na kujifanya mjinga ili maisha ya yaendelee...kuna kipindi unatakiwa uwe mkali ili kuwe mambo sawa katika ndoa....yote hayo yanategemea na uwezo wako wa kusoma alama za nyakati....unatakiwa ujue kuwa ni wakati upi wa kuwa mpole ili mambo yawe sawa na ni wakati upi uwe mkali ili mambo yawe sawa......

Kiburi ,dharau ,jeuri na majivuno ndani ya ndoa havijengi ndoa bali husambalatisha ndoa.....

Nina amini kabisa kuwa katika tatizo lenu limechukua kubwa na la muda mrefu bila ya kupatiwa ufumbuzi kwa kuwa hakuna anayetaka kujishusha na kuonekana mjinga.....
 
Pole sana. Mpaka asubuhi hii umeanzisha thread inaonyesha hali ni mbaya sana.

Ndugu yangu acha tu, nimebakiza kula kwa macho. Ningekuwa na nguvu za kumbaka aisee ningembaka, make naishia kumtamani tu. Kitanda kimoja, shuka moja bila ku do ni bonge la adhabu. Najitahidi kujikausha lakini nazidiwa, ushauri wako ni muhimu sana kwangu
 
Ndugu yangu nimejishusha mpaka basi, hadi nahisi namkera kwa kujishusha kwangu nimeamua kufa na tai shingoni.

Ndoa inataka uvumilivu, busara na hekima za kiwango cha juu sana...
Si jambo jepesi kuishi na mtu mwenye tabia ,malezi na maoni tofauti.....

Wanandoa wengi wanayaona maisha ya ndoa magumu kwa kuwa hakuna anayependa kujishusha kati yao..kila mmoja anataka awe juu...wanasahau kuwa mafahari wawili hawakai zizi moja.....
Kuna kipindi katika maisha ya ndoa inabidi ujishushe na kujifanya mjinga ili maisha ya yaendelee...kuna kipindi unatakiwa uwe mkali ili kuwe mambo sawa katika ndoa....yote hayo yanategemea na uwezo wako wa kusoma alama za nyakati....unatakiwa ujue kuwa ni wakati upi wa kuwa mpole ili mambo yawe sawa na ni wakati upi uwe mkali ili mambo yawe sawa......

Kiburi ,dharau ,jeuri na majivuno ndani ya ndoa havijengi ndoa bali husambalatisha ndoa.....

Nina amini kabisa kuwa katika tatizo lenu limechukua kubwa na la muda mrefu bila ya kupatiwa ufumbuzi kwa kuwa hakuna anayetaka kujishusha na kuonekana mjinga.....
 
Asante, miezi 9. Ndio tunatarajia mwezi ujao.
Nauliza tena kutokana na swali ulilojibu hapo juu,umesema "ndio tunatarajia mwezi ujao" kwahiyo hapo ulipo una mimba ya miez 9 au nimeelewa vibaya?
 
Kutokana na maelezo yako, Jinsia yako haijaeleweka ni wa kike au wa kiume

1. Chaputa - chama cha Punyeto tanzania (huu msemo unatumiwa na wanaume)
2. Avatar yako inaonyesha wewe ni mwanamke
3. Tunatarajia mwezi ujao, hapa hueleweki wewe ndio mwenye mimba au yeye.
4. Natamani nmbake hii imekaa kiume, maana wanaume hawabakwi wanajibakisha... Hahha

Nasubiri mrejesho nichangie
 
Mumeamkaje, mwenzenu nina hali mbaya. Nimenyimwa unyumba mwezi wa pili sasa, chanzo ni ugomvi wa hapa na pale usiohusiana na mapenzi. Tumesuluhishwa na ndugu na marafiki lakini hola!

Sifikirii kuwa msaliti, nafikiria kufanya maamuzi magumu ya kujiunga na chaputa. Msaada jamani
Tabu yote ya nini mamaa,kuya kwangu achana na mawazo ya kujiunga Chaputa utaathirika bure
 
Asante, miezi 9. Ndio tunatarajia mwezi ujao.
Pole, huenda hali uliyonayo kwa sasa haimvutii, mtu ukiwa mjamzito kuna changes kuanzia tabia hadi mwili (hapo kwenye mwili bila shaka unaelewa), vipi tabia kuoga? Kunukia nukia? Kujiweka smart?
Ila jamaa nae hajui huu muda ndo wa kupata joto kama kawekwa kwenye incubator
 
Back
Top Bottom