Huu ndo udhaifu wa wanawake

zegamba180

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
818
536
Wanaume tuna udhaifu sana na maeneo haya ya wanawake; miguu mizuri, mapaja, tukiona chupi, ama wanawake wakikaa vibaya. Hali inakuwa si nzuri maeneo yetu fulani.

Je, Nanyi wanawake mnavutiwa na nini kwetu?
 
wanadata na uchawi wa mzungu a.k.a gari

ukiazima gari unaweza ukajichagulia tu huku kitaa
 
Kama huna mia, sahau! Mwanamke akikuomba hela ya vocha, kusuka, kiatu asikose... AKIKOSA kesho unamkuta na kile ulichomnyiam, jua kuna fala mwingine kaingia kingi na mzigo kapewa...... kuwa mwangalifu
 
Wanaume tuna udhaifu sana na maeneo haya ya wanawake; miguu mizuri, mapaja, tukiona chupi, ama wanawake wakikaa vibaya. Hali inakuwa si nzuri maeneo yetu fulani.

Je, Nanyi wanawake mnavutiwa na nini kwetu?
Samahan mkuu upo darasa la ngapi
La 2 b au
Mbona sasa sikuonagi darasani au upo zamu ya mchana
 
Back
Top Bottom