Tumsaidie mdada huyu kwa mawazo!

Tumsaidie mdada huyu kwa mawazo!

g vizy

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2016
Posts
935
Reaction score
1,034
Kuna mdada mmoja huku mtaani kwetu amejikuta katika mtihani mzito mpaka kushindwa kuelewa afanye kitu gani, yye ni msichana mwenye umri wa miaka 22 alibahatika kupata mwanaume kipindi akiwa na umri wa miaka 19 na wakawa katika mahusiano kwa muda wa kama miaka miwili hv baada ya kuwa nae kwa Muda huo wakafikia hatua ya kukata shauri la kutaka wafunge ndoa taratibu zikafanyika posa ikaletwa nyumbani kwa binti wazazi wakaipokea tayari taratibu za ndoa zikawa zinaendelea, baadae binti akapata mimba jamaa alivyoelezwa kuwa binti ana mimba yake akamruka na kusema nilikuwa nikikuhitaji kimapenz na kwa kuwa nimepata nilichokihitaji akawa ana time na binti
Binti alibahatika kujifungua mtoto salama na akaendelea kuishi na mtoto wake akiwa nyumbani kwa wazazi wake, ktk kipind chote hicho jamaa akuwahi kuhudumia kwa chochote tangu binti amejifungua ila amerudi tena kwake na anataka warudiane upya na walee mtoto wao
Binti akukubaliana na hilo kwa kuwa alionesha hakuwa mtu mwaminifu kwake lakini kwa sasa binti huyu amepata mtu ambaye anampenda sana na anategemea kwa baadae ndio atakaye kuwa mume wake wa maisha yake ila mpenzi wake anaishi mkoa tofauti na yye anapoishi
Kinachomuumiza kichwa yye ni kwamba baba yake na binti amekuwa akifanya maamuzi pasipo kumshirikisha binti hivi juzi amekuja na watu na amepokea posa kwa watu hao kwa ajili ya kumuoza binti yake cha kushangaza binti mwenyew amjui anayekuja kumtolea posa ni nani ili aolewe nae licha ya hivyo amesema hakubaliani na jambo alilolifanya baba yake kwa sababu hawezi kumsaliti mpenzi wake aliyekuwa nae
Japokuwa mpenzi wake aliyenaye ssa hv ajawa vizuri kwenye swala zima la kipato kwa kuwa Bado ajapata ajira na anaishi kwa wazaz wake na pia yuko mbali anachoofia ni kuhusu yeye na mtoto wake endapo akimkatalia baba kuhusu swala la huyo mtu kuja kumtolea posa atamfukuza nyumbani na hana pa kuelekea
Mpaka sasa baba yake ajatoa tamko lolote kwa kuwa tarehe ya watu hao kuja kutoa posa haijafika na hajajua baba yake atamwambia nn baada ya yeye kukataa swala, hilo ila anasema baba yake ni mkali sana anaweza kumfukuza nyumbani
Anaomba ushauri wenu wadau afanyeje kwani anampenda sana mpenz aliyenae sasa kwa kuwa anamwona ni mwaminifu sana na anamapenz ya dhati kwake hataki kumsaliti ila tatizo kubwa ni hilo la kuhusu baba yake kumradhimisha kuolewa na mtu asiye mpenda AFANYEJE!!!
 
Huyo aliyenae sasa anajulikana nyumbani kwa binti?
 
Yaah anajulikana na wazaz wanamfaham kwa mama ake hakuna tatizo ,tatizo lipo kwa baba yake anachodai kama anampenda kweli kwa nn haji nyumbani kumtolea mahali ila inavyoonesha jamaa Bado hajawa na kipato Bado hvyo Mzee anahic kama anachelewa hv
 
Huyo mzee safi sana....kwanza kashabeba aibu ya mwanae for some time. Huyo bidada tuu...kwa sasa hana bargaining power...alishazalishwa alafu bado tena anaenda mwanaume ambaye hajiwezi...ujinga kabisa. Akikataa kuolewa baba ana kila haki ya kumfukuza nyumbani kwake.....kama alijiona mkubwa mpaka akazaa ni mkubwa wakutosha kuweza kuishi peke yake.
 
Amwelewe tu baba yake mana hakuna namna nyingine,
 
Hapa tatizo ni hali ya maisha huyo dada(au wewe mleta mada) maisha yake anategemea mwanaume ndo maisha yaende. Mbaya zaid anayedai wanapendana kwa dhati hana uwezo. Hivo basi hakuna namna ila kukubaliana na mzee wake kama angekuwa ana uwezo wa kujitegemea angeondoka hapo hom akaishi kwa kujiyegemea. Aolewe tu hata akiletewa kibabu
 
Back
Top Bottom