eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,235
- 16,205
1. Wengi wao wanapendwa sana ila si kwa ajili ya kuolewa.
2. Wengi wao wanatumika tu pasipo kutolewa mahari.
3. Na hata pale wanapoolewa basi ndoa hiyo hua na mashaka na wasiwasi mwingi.
Huu ni utafiti wangu mdogo tu japo sijaoa bado.