Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
Kama wasemavyo wahenga kuwa "mapenzi hayana shujaa", mwenzenu yamenipata. Kuna dada mmoja mnyarwanda tunasoma nae chuo kimoja, yeye first year mimi third year.
Mimi ni miongoni mwa marafiki zake wa mwanzo hapa chuo kwa kuwa nilikuwa free kugonga nae kimombo maana wenzangu hawapendi kugonga kimombo muda mwingi.
Nilitokea kumpenda, siunajua tena wanyarwanda walivyojaliwa! yaani mashallah!. Lakini sikuwahi kumtamkia wazi zaidi ya texts za hapa na pale na callings kwa mbali.
Sasa leo nimefunguka na hii ndiyo text yake aliyonijibu:
"i have someone, i did it coz i thought we are just friends. u never talked so i thought u are not interested in. i gave that chance to someone else. so was it my fault or your fault?".
Nimeumia sana ndugu zangu.