balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,383
- 13,773
Alipoondoka kwanza alitukana saana,baadae akatuma Meseji kwamba amechoka karudi kwao.nashukuru Mungu kwa kuondoka,je,siku akirudi itakuwaje?
Siku akirudi wewe mshukuru shetani tu!, hakuna namna.Alipoondoka kwanza alitukana saana,baadae akatuma Meseji kwamba amechoka karudi kwao.nashukuru Mungu kwa kuondoka,je,siku akirudi itakuwaje?
Unaweza andika lolote wakati wowote..........tena jukwa lolote...................na kumtusi yeyote............hata kama hakufahamu........................Hivi JF wana sera gani juu ya fursa ya kutoa thread kwa member wake?...
Hats Mimi nashangaaKwani we wamekuzuiaa
Asante mkuu!Unaweza andika lolote wakati wowote..........tena jukwa lolote...................na kumtusi yeyote............hata kama hakufahamu........................
Umejuaje ni mwanaume wa Dar?Wanaume wa Dar mna mambo kweli, hapo Jani lilishakolea..
Atakuwa anaandika huku anachungulia dirishani kama anarudi.
Haaaaaa haaaaaaaa kulaaaaHahahaaaaa! Nimepata hadi hamu ya kula