Baadhi Ya Wanaume

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
UPUMBAVU WA BAADHI YA WANAUME.

Mwanaume anaamini anapendwa na
mwanamke, tayari anamuona fala fulani,
matokeo yake anaanza kuleta dharau.
Japokuwa mwanaume ana makosa,
mwanamke anaomba msamaha, atafanya nini tena na wakati kashapenda?

Mwanamke hata ukimsaliti, akikuona,
atakwambia anakupenda...mwanamke ni
mgumu kutoka kwenye mpenzi, kumtoka
mwanaume moyoni ni vigumu mno.
Anapopenda, anapenda. Mwanamke anakupenda sana, anakutambulishahadi
kwa marafiki zake, mwanaume anavyokuwa
fala, anawatokea marafiki wa mpenzi wake.

Mwanamke akishtukia mchezo,
anakusamehe na mwisho wa siku
anakwambia kwamba anakupenda. Upendo wa mwanamke ni tofauti na
mwanaume, mwanamke anajali sana,
anathamini na ndio maana unapomsaliti,
anakusamehe tofauti na mwanaume.

Mwanaume anajiamini kwamba ana nguvu,
nguvu zake anataka azilete mpaka kwenye mapenzi, hahaha! Mapenzi hayahitaji
nguvu, bali yanahitaji akili sana,Uvumilivu, Heshima nk

Mwanamke anavumilia, mwanamke analia
kwa ajili yako, mwanamke anakuomba
msamaha hata kama wewe ndiye umekosa.

Anafanya hivyo kwa kuwa tu hataki kukupoteza, ana uhakika ukimuacha yeye
huwezi kupata mapenzi ya dhati kama
anayokupa.

Hebu wakati mwingine wanaume
tunapaswa kuutambua uvumilivu wa
wanawake kwenye mapenzi...ukimuona mwanamke anakusamehe baada ya
kugundua kwamba umemsaliti....mthamini
kwani huyo ana mapenzi makubwa kwako
kwa sababu ishu ya usaliti mwanaume
kusamehe huwa ngumu.

Sifa kwa Mungu kwa kuwapa wanawake UVUMILIVU mioyoni mwao tofauti na sisi
wanaume tunaotamani kutumia nguvu na

N:B.......Ubabe kwenye Mapenz
 
Wanawake wa siku hzi hawapo hvyo akihisi umechepuka na ye analipiza ht km hana ushahidi.hayo mapenz unayowasemea wanawake w siku hiz hawana wanaekti tu wengi wao.
 
Mapenzi yanauma sana ukitendwa
Mtu anayethamini utu hawezi kucheza na hisia za mtu mwingine hata kidogo na ikitokea kwa bahati mbaya ataomba msamaha
 
UPUMBAVU WA BAADHI YA WANAUME.

Mwanaume anaamini anapendwa na
mwanamke, tayari anamuona fala fulani,
matokeo yake anaanza kuleta dharau.
Japokuwa mwanaume ana makosa,
mwanamke anaomba msamaha, atafanya nini tena na wakati kashapenda?

Mwanamke hata ukimsaliti, akikuona,
atakwambia anakupenda...mwanamke ni
mgumu kutoka kwenye mpenzi, kumtoka
mwanaume moyoni ni vigumu mno.
Anapopenda, anapenda. Mwanamke anakupenda sana, anakutambulishahadi
kwa marafiki zake, mwanaume anavyokuwa
fala, anawatokea marafiki wa mpenzi wake.

Mwanamke akishtukia mchezo,
anakusamehe na mwisho wa siku
anakwambia kwamba anakupenda. Upendo wa mwanamke ni tofauti na
mwanaume, mwanamke anajali sana,
anathamini na ndio maana unapomsaliti,
anakusamehe tofauti na mwanaume.

Mwanaume anajiamini kwamba ana nguvu,
nguvu zake anataka azilete mpaka kwenye mapenzi, hahaha! Mapenzi hayahitaji
nguvu, bali yanahitaji akili sana,Uvumilivu, Heshima nk

Mwanamke anavumilia, mwanamke analia
kwa ajili yako, mwanamke anakuomba
msamaha hata kama wewe ndiye umekosa.

Anafanya hivyo kwa kuwa tu hataki kukupoteza, ana uhakika ukimuacha yeye
huwezi kupata mapenzi ya dhati kama
anayokupa.

Hebu wakati mwingine wanaume
tunapaswa kuutambua uvumilivu wa
wanawake kwenye mapenzi...ukimuona mwanamke anakusamehe baada ya
kugundua kwamba umemsaliti....mthamini
kwani huyo ana mapenzi makubwa kwako
kwa sababu ishu ya usaliti mwanaume
kusamehe huwa ngumu.

Sifa kwa Mungu kwa kuwapa wanawake UVUMILIVU mioyoni mwao tofauti na sisi
wanaume tunaotamani kutumia nguvu na

N:B.......Ubabe kwenye Mapenz
Labda wanawake wa kipindi cha nyerere huko, wanawake wa hapa mjini sasa mh ukichepuka na mmoja yeye atachepuka na wa5
 
Back
Top Bottom