Aliniacha,sasa anataka turudiane na mimi sina mpango nae

Amandusybest

Member
Jun 2, 2015
18
3
Hi jf naomba kuuliza hivi kama MTU mlishaachana kwa sbabu kataka yeye koz eti mko mbali na wakati hakujua kazi na wasifu wako katika jamii afu baada ya kama miaka miwili akajua upon university na hujaoa ,na akatafuta contact zako akazipata na akakupata hiv inawezekana kurudiana naeeee,na wakati huna mpango nae tenaaa? Naomben msaada wa ushauri jaman Niko njia panda
 
Hapo hakuna mambo ya University wala street...Kama huna mpango nae tena itakuwaje urudiane naye, Labda kama atakulazimisha na wewe uwe huna power kwenye maamuzi yako..
 
Hi jf naomba kuuliza hivi kama MTU mlishaachana kwa sbabu kataka yeye koz eti mko mbali na wakati hakujua kazi na wasifu wako katika jamii afu baada ya kama miaka miwili akajua upon university na hujaoa ,na akatafuta contact zako akazipata na akakupata hiv inawezekana kurudiana naeeee,na wakati huna mpango nae tenaaa? Naomben msaada wa ushauri jaman Niko njia panda
Ila kea bile tayari unaelekea kuws mmoja wapo wa wanaume wa Dat es salaam, mm sina ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom