MTU AKISEMA HANA HELA WE UNAMUELEWAJE?

kadovela

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
471
679
HABARI ZA MAPUMZIKO WADAU. KUNA JAMBO LINANITATIZA NA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU WANGU. KANIOMBA ELFU 50 NIKAMJIBU MPENZI LEO SINA HELA. MARA INAINGIA SMS IPO KIASI GANI? JAMANI NAOMBA MNISAIDIE IVI MTU AKISEMA HANA HELA WENZANGU MNAMULEWAJE? MAANA NASHINDWA KUMUELEWA HUYU DEMU
 
Ni kawaida zetu Wabongo mtu ukimwambia hata kama si wapenzi...Asee ebu naomba elfu 5 hapo...Jibu la kwanza jamaa atasema asee sina kitu kabisa ila anaendelea kujisachi mfukoni atatoka na elfu nakusema labda hii elfu 2 ndo ninayo kama itaweza kukusaidia...So Binti hajapoteza mwelekeo bado anakomaa apate walau 10 hapo..
 
NIMEKUELEWA MKUU NADHANI NI JAMBO LA KIMAZOEA NA KIMAPOKEO ZAIDI
 
Manake, mpe uliyonayo ndogo ya hapo.
message ninayoipata mapenzi ya siku hizi mwanaume hatakiwi kukosa kabisa hela hiyo hela ya haraka anataka kulipia kitu alitamani ghafla hata bila kupanga au kushirikisha kabla
 
umenitoa stress aisee eti iko kiasi gani? anamaanisha mwanaume usikose hela yakumpa.
kuna wanawake majasiri dahhh wajiunge alshababu tu
 
Ndiyo hawana tofauti na watoto. Watoto huamini baba hashindwi kitu.
 
umenitoa stress aisee eti iko kiasi gani? anamaanisha mwanaume usikose hela yakumpa.
kuna wanawake majasiri dahhh wajiunge alshababu tu
na kuna muda wanatuaibisha mbele rafiki zao kajitapa huko kwamba muda wowote akiomba kitu kimejibu mpesa siku huna anakudhiaki mbele za marafiki zake
 
Back
Top Bottom