kwa mbali kama nimekuelewa vile!Hii dhana iko hivo kutokana na miili yao.
Inasemekana wanawake wembamba ni wavivu kupika wakati wanawake wanene hawaoni uvivu kupika na hivyo kusababisha kunawiri.
Waswahili tunasema mwili haujengwi kwa matofali!
Ni kweli kwani mapishi na genetics yana uhusiano mkubwa sana. Utanenepaje kama hujui kupika?Sina uhakika kwa kuwa sijafanya uchunguzi ndio maana nimelileta kwa wanajamvi mnisaidie dhana kuwa wanawake wanene ni mahiri kwenye mapishi.