KHAMISsecret
Senior Member
- Sep 22, 2011
- 178
- 66
Habari za muda huu wanajami forum. Leo nimeona nije na hili suali ili mnisaidie majibu maana labda mimi nimeelewa vbaya. Kiumkweli nimefanya uchunguzi kwa muda mrefu sasa kuhusiana na mapenzi na hela, ila kitu nilichokibaini ni kua wadada wengi kama c wote tukianza uhuciano tuuu, huchukua shida zao na kuzihamishia kwangu. Lakini kitu ambacho kinanishangaza mimi ni kua hata ukijitaud vp kumtatulia izo shida zake bado ikitokea siku moja tu ukimwambia kua huna hela na 7b ukampa ya kua hivo bado anakushushia mzigo wa lawama na kuanza kukusema kua mim nina roho mbaya, huna utu, c mwanaume nk... Na mwisho wa cku atanambia kua cmpendi na sina shida nae na kuanzia hapo mim na yete basi.
Sasa ndo mana nauliza ivi ili mwanamke umuonyeshe kua unampenda ni laxma umoatue hela tu kila anaooitaji??
Maana zaidi ninaloshangaa mimi utakuta mwingine ana kaxi ake anafanya na anaingiza kipato na akihtaji hela pengine namwambia subir kdg nipe muda nikytafutie ila hanielewi... Ivi haya kweli ni mapenzi au kutapeluana tu uku...
Naomba cmments zenu wajuzi hasa wakina dada mana nyinyi ndo walengwa wakuu wa hii thread...