maisha haya yataniponza nisipate mke

mamaur

Member
Feb 16, 2013
75
42
habari zenu jamani...moja kwa moja kwenye mada

mimi nina umri zaidi ya miaka 30 na mpaka sasa sijawahi kumtongoza mwanamke uso kwa uso...yaani mie domo zege. toka nikiwa na miaka 24 nimekuwa mtu wakukutana na wanawake wa mtandaoni na hao ndio ninafanya nao mapenzi.

pia nimekuwa muathirika wa nyeto maana siwezi lala bia kupasha kimoja. hivyo nakuwa mtu wakusex mara chache sana inaweza pita miezi ndio nipate demu mwengine kutoka mtandaoni ili nipate mautamu.

sasa kwa miezi kadhaa nimekuwa na hisia kali sana za kutaka kuwa kwenye ndoa. yaani i really feel kuwa sasa ni wakati wa kuwa na mke. tatizo sasa kutongoza siwezi hawa wa mtandaoni naona kama nitakuwa nacheza patapotea maana nimegundua huko ni wamejaa wa starehe tuu.

sasa jamani nishaurini maana kwa sasa kweli naona umuhimu wa kuwa na mke lakini ndio hivyo hali ndio kama hivyo. naombeni ushauri.
 
Tangaza tenda kwa mjomba shangaz n k watakusaidia to utafanikiwa
 
Sio kila mwanamke wa mtandaoni ni wa starehe, wapo pia wanaotaka kua na ndoa kama wewe sema wanakutana na mtu kama wewe ambae unadhani wote ni wa starehe tu.

Komaa humo humo mtandaoni utapata mke wa kuoa utimize haja ya moyo wako.

Tofauti ni kwamba wanawake wazuri wa mtandaoni wengi wako kistarehe, wa kawaida ndio wa ndoa, kama unataka mwanamke mzuri wa kuoa inabidi utongoze live maana sio rahisi kupata mwanamke mzuri wa mtandaoni anaetaka ndoa.

Kama wanawake wa kuoa wapo wengi tu mitandaoni. Kama kutingoza hujui tumia pesa ikutongozee, acha pesa iongee zaidi "money talks".
 
Okk hapo kwanza unatakiwa uache kufunga magoli ya mkono...maana ukiwa hivyo hata ukimpata atakukimibia. Ikibidi waone wanasaikolojia watakusaidia njia za kuachana na hiyo kitu ila njia rahisi nadhani ni kuwa na mwanamke ili ukijisikia tu unamalizana nae.

Kwenye kutongoza, kwanza identify target kisha mfuate tu muombe wasaa wa kuongea nae. Anawezaa kukataa mara ya kwanza, weka ukaribu fulani eg church etc kisha ukishamzoea mweleze ya moyoni, jambo unalopsawa kujua hapoa hata akikataa hupotezi chochote.

Ukishindwa kabisa waambie rafiki na jamaa wakusaidie. Au siku moja shtua na kitwanga kama ni mtumiaji kwa kiasi kidogo lakini ita boost confidence zako kisha mtokee.

Pia ji pimp vizuri, inasaidia kuboost konfidence sio muonekano tu matatizo
 
Ila mkuu si kuna wasaka ndoa hata humu pia?
Jaribu kuonana nao uone kama mtafaana kwa ndoa mkuu.
Hapo uta-skip mtongozano mkuu...
 
Back
Top Bottom