Nimebaki kuwa mtazamaji katika suala la kuolewa

nyani jike

Senior Member
Feb 23, 2016
176
223
Katika suala la kuolewa nimekubali kucheza kwenye harusi za mwenzangu na nimeamua kubaki kuwa mtazamaji kwetu wakinichoka nitaenda kupanga niendelee na maisha.

Nitawatazama tu wanawake wenzangu na ndoa zao.

Nimeamua kutoka moyoni kabisa kiroho safi kulala na mwanaume mpaka asubuhi kwenye maisha yangu No!
 
Katika suala la kuolewa nimekubali kucheza kwenye harusi za mwenzangu na nimeamua kubaki kuwa mtazamaji kwetu wakinichoka nitaenda kupanga niendelee na maisha.nitawatazama tu wanawake wenzangu na ndoa zao.nimeamua kutoka moyoni kabisa kiroho safi kulala na mwanaume mpaka asubuhi kwenye maisha yangu NO.

Una miaka mingapi?
 
Katika suala la kuolewa nimekubali kucheza kwenye harusi za mwenzangu na nimeamua kubaki kuwa mtazamaji kwetu wakinichoka nitaenda kupanga niendelee na maisha.

Nitawatazama tu wanawake wenzangu na ndoa zao.

Nimeamua kutoka moyoni kabisa kiroho safi kulala na mwanaume mpaka asubuhi kwenye maisha yangu No!

Unamaanisha kweli? Au ndo dhana ya sizitaki mbichi hizi?:eek:
 
Ni mawazo yako tu, upo huru kufanya jambo lolote ilimradi usivunje sheria za nchi.
Sheria ya Mungu sawa.
 
nyani jike

Senior Member, 46

nyani jike was last seen:

2 minutes ago
  • About
    Birthday:
    Jan 1, 1970 (Age: 46)
hii age sidhani kama yake, ipo kwa wengi ambao hawajaset miaka na tarehe ni hiyohiyo
 
Nilifikiri umekosa wa kukuoa kumbe umeamua mwenyewe basi haina tatizo, siku zote ni bora kufanya maamuzi ambayo unajua hayatokuumiza baadaye
 
Back
Top Bottom