God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
Hivi ni kweli kuwa unaweza kumtazama mtu machoni na kuelewa nia yake au kama ni mnafiki, kuna jambo anafahamu, au kakutenda, kafanya mauaji hivi inawezekana?
Wana saikolojia na wengineo naombeni ushauri maana haiwezekani kila mwanamke atake kukutazama machoni hapa kuna kitu huwa anakielewa.
macho yana nafasi kubwa kweli kila napokaa na kufikiri.