Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Dah jaman cjui n udomo zege au n nn nashndwa kumtongoza mwanamke na kila nitakayepata ana mtu wake cjui nifanyaje
4 Reactions
67 Replies
7K Views
Mada husika inajieleza leo nikiwa nimejikalia sehemu napata moja moto moja baridi aakapija mdada ambaye namfahamu uzuri nikamnunulua bia mbili ndo akanipa kitu ambacho sijawahi hata fikiri ikuwa...
5 Reactions
73 Replies
9K Views
Leo unakuta na bi mdada anakwambia ameku fancy, unachukulia kama invitation. Unaanzisha mchakato wa kuchepuka anakupiga stop kwa kukuambia, I fancy you but I'm not in love with you! Kwetu huku...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Zamani tulizowea kuona watu wanajihusisha kimapenzi na wanaume wakubwa ama wazee na watu walikuwa anaona sawa, ila siku hizi ni vijana wadogo kwa wanawake wakubwa na imekuwa kama kauli mbiu kuwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi ikitokea una mwanamke ambae anakunywa pombe na wewe haunywi unawezaje kuishi nae? Unakuta zile harufu za pombe zinakukera na ukimueleza mwenzio angalau aache pombe haachi. Na kingine...
6 Reactions
209 Replies
25K Views
Hi brothers & sisters,i have got an opportunity to work in Mwanza city..due to that am in need of friends to exchange ideas.. both men & women are needed,if your ready plz u can PM Thanks!!
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndio kwanza mmeanza uhusiano ambapo mnaelekea kufunga ndoa, wote bado ni vijana wabichi, hamna majukumu makubwa yanayohitaji fedha, hamna watoto, kwa hiyo fedha mnazopata ni kwa ajili ya kula na...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Namtafuta girl yoyote ambaye kakaa mamtoni kwa miaka anayojua yeye,awe ana mtoto au hana haijalishi as long tukakubaliana tuende next level,....awe UK,nchi za scandanavia au zingine za Asia...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wanajamvi natafuta mwanamke wa kuzaa nae watoto wawili sitaki ndoa, nitamlipa 150 mil tshs. Vigezo awe mwenye mvuto kuanzia sura mpaka shape...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Neno nakupenda ni dogo sana ila moyo wa mwanadamu hulipokea kwa uzito wa juu sana.. Karibu kila lugha duniani wanastahili ya kulitumia ili kumuonyesha aliye naye kuwa anampenda. Mfano: KISWAHILI...
0 Reactions
35 Replies
14K Views
Nina jirani yangu alikuja kuomba ushauri kwangu(true story), hakumuona mumewe siku 3 nyumbani na simu haipatikani, bibie pressure juu kibinadamu. Mwanaume ni fundi mitambo, kawaida huwa anafanya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jamani heri ya mwaka mpya naona hata haya kwanza, ngoja nijibrekishe kwanza maana mapande ya akina mzee mwanakijiji sijui kama nitayahimili.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau, Nina ugonjwa ambao ninataka kuuacha lakini nashindwa. Ni hivi, wote mnajua kuwa ndani ya ndoa zetu huwa hatutumii kinga tukiwa na wake zetu wakati wa tendo, sasa hii imenijengea mazoea...
2 Reactions
64 Replies
6K Views
Kwa kweli nimekosa amani ndani ya nafsi yangu kwa tukio lilinikumba leo hii Nilikuwa katika mahangaiko yangu lakini nilikuwa nimeishiwa salio kwenye line yangu ya tigo,hivyo nikaenda kuulizia...
6 Reactions
25 Replies
6K Views
wAPENDWA WANA JF WOTE KWA DINI ZOTE NA MADHEHEBU YOTE MIMI NAJIBREKISHA LEO RASMI NIKAFANZE TOBA YA KWELI KWA MUUMBA WANGU TUTAONANA MUNGU AKIPENDA BADA YA MFUNGO,ANGALAU HII MITIMA IPINGUZE...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naandika huu uzi kwa hisia Ni mkasa uliomtokea huyu Dada wiki Jana. Ilikua ni siku ya jumatano akamwomba Boss wake ruhusa ya siku mbili yaani Alhamisi na Ijumaa. Lengo ni kwenda jiji la mwendo...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Haya ni maajabu ya mchepuko wangu kiukweli ni mzuri na ana diploma fulani hivi lia bado hana kazi na tulikutana mwezi wa tatu mkoani na nikamweleza fika kuwa nina MKE NA WATOTO WATATU . Sasa...
4 Reactions
112 Replies
16K Views
Haiwezekani hata kidogo mtu anakuja ninapoishi na mwanamke mpya na kuanza kuagiza apewe vyakula na vinywaji kisa palikua kwake zamani, wakati walishagawana mali na bibi yangu akasepa, sasa leo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini za mfungo, poleni na swaumu kwa wale waliofunga. Hili neno 'role model' limeharibu vijana wengi sana hadi kufikia sasa, vijana wengi wamejiingiza kwenye madawa ya kulevya, ujambazi...
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…